Nini Masharti ya Kuvaa Suti?

Nini Masharti ya Kuvaa Suti?

Bingwaman

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2010
Posts
548
Reaction score
288
Nasikia uvaaji suti una masharti yake. Ni yepi hayo?
 
Moja ya masharti ni kwamba hutakiwi kula vitu kama karanga, ndizi na machungwa barabarani.
 
Hutakiwi kukimbia hata kama mvua imeanza kunyesha.
 
Humu ndani tayari kuna post inayohusu Suti ya siku nyingi tu , Labda tuwaombe mods wailete hapa.
 
Humu ndani tayari kuna post inayohusu Suti ya siku nyingi tu , Labda tuwaombe mods wailete hapa.



Mods tafadhali kama alivyoomba Mkuu
ni vema kama mkituletea huo uzi hapa.

Natanguliza shukrani tele.
 
Hutakiwi kukimbia hata kama mvua imeanza kunyesha.

hata ukiibiwa huruhusiwi kumfukuza mwizi wa kupiga kelele MWIZIIIIIIIIII unatakiwa useme kwa upole tu wamechukua,wamechukua,wamechukua simu yangu....
 
Hutakiwi kubeba mfuko wa rambo na ni marufuku kugombea daladala, hasa kwa njia ya kuingilia dirishani.
 
- sharti la kwanza ukivaa suti usipande bodaboda, bajaj au basi
- Usiwe mwenye kutembea kwa miguu wala kula ovyo barabarani
- Usitamani mali wala kitu cha mwenzio kwan waonekana kibopa
- Usikaribie kwenye majanga mara uyaonapo
- Usichekechecke ovyo barabarani au kwenye kumbi zozote au
sehemu za kazi, ama kwenye function yoyote ile
Nasikia uvaaji suti una masharti yake. Ni yepi hayo?
 
Uweunakula mua ukiwa na suti

Ukiibiwa cm huruhusiwi kumkimbiza mwizi
 
Nasikia uvaaji suti una masharti yake. Ni yepi hayo?
Uvae suti huku umevaa sneakers/raba

0107-groomsmen_we.jpg
 
Usisalimiane kwa salaam za mitaani kama MAMBO, au OYAA, au wakubwa SHWARII, au INAKUWAJE n.k.
 
Usiendeshe baiskeli, usikimbie, hakikisha una wallet na kitambaa cha mkononi na usile mahindi ya kuchoma au karanga barabarani!!!!
 
Back
Top Bottom