Nini Masharti ya Kuvaa Suti?

Nini Masharti ya Kuvaa Suti?

Hakikisha una mwendo wa suti taratiiiiiibu sio mwendo wa jinsi na Tshirt wa kudunda
 
Hakikisha viatu vyako vinang'aa wakati wote. Ni marufuku kuvaa suti huku viatu vyako vikiwa na vumbi.
 
Back
Top Bottom