Jiandae kuwa treated kama mtoto eg. Kukemewakemewa, kuelekezwa fanya hiki hata kama unajua.Wakuu salaam,
Naomba ushauri wenu wa hali na mali kabla ya kuingia kwenye hii singeli (ndoa), mwanamke niliye naye ni ana umri mkubwa kidogo kuliko mimi, na nipo mbioni kutangaza ndoa.
Noamba ushauri je kuna madhara yoyote nitakumbana nayo kwa kuoa mwanamke aliyenizid umri.
ASANTE.
Jiandae kuwa treated kama mtoto eg. Kukemewakemewa, kuelekezwa fanya hiki hata kama unajuaWakuu salaam,
Naomba ushauri wenu wa hali na mali kabla ya kuingia kwenye hii singeli (ndoa), mwanamke niliye naye ni ana umri mkubwa kidogo kuliko mimi, na nipo mbioni kutangaza ndoa.
Noamba ushauri je kuna madhara yoyote nitakumbana nayo kwa kuoa mwanamke aliyenizid umri.
ASANTE.
madhara ni pale shosti kila saa atataka akalie dydyumadhara tu ni pale tu mtakapo anza kuhukumiana kutokana na umri.. kama halitatokea hilo hakuna shida
mbona waliopo menopause ni watam sana bed....mostly wanakua wanene sasa lile joto huko chini ni fantasticKama umemzi umri mwanamke ambae una wasi wasi kama ameanza menopause basi wewe shikamoo.
Mnapishana umri kiasi gani mkuu, mi namzidi mume wangu miaka miwili tuna miaka tisa katika ndoa yetu, kama ni kugombana tunagombana kama wana ndoa wengine, na tunaheshimiana na kulea watoto wetu pamoja. Ni baba mwema sana kwa watoto na ni mume mwema kwangu, japo namzidi miaka miwili, hahha.Wakuu salaam,
Naomba ushauri wenu wa hali na mali kabla ya kuingia kwenye hii singeli (ndoa), mwanamke niliye naye ni ana umri mkubwa kidogo kuliko mimi, na nipo mbioni kutangaza ndoa.
Noamba ushauri je kuna madhara yoyote nitakumbana nayo kwa kuoa mwanamke aliyenizid umri.
ASANTE.
Mnapishana umri kiasi gani mkuu, mi namzidi mume wangu miaka miwili tuna miaka tisa katika ndoa yetu, kama ni kugombana tunagombana kama wana ndoa wengine, na tunaheshimiana na kulea watoto wetu pamoja. Ni baba mwema sana kwa watoto na ni mume mwema kwangu, japo namzidi miaka miwili, hahha.
Kama umemzi umri mwanamke ambae una wasi wasi kama ameanza menopause basi wewe shikamoo.
Menopause ni stage ya ukuaji kwa mwanamke, kawaida inatokea kuanzia miaka 45-55 lakini miaka ya leo wanawake wengi huingia menopause kabla hawajafika 40.Menopause ni kutoweza ku conceive au kutokwa na hamu ya kusuguana!?? I think watu wana changanya hii kitu. Embu niangaze hapo mtaalam
Menopause ni stage ya ukuaji kwa mwanamke, kawaida inatokea kuanzia miaka 45-55 lakini miaka ya leo wanawake wengi kuingia menopause kabla hawajafika 40.
Katika menopause oestrogen za mwanamke hupungua na kukoma kuzalishwa.
Kupungua kwa hormones za oestrogen kunaleta mabadiliko kwa mwanamke, hamu ya kufanya mapenzi hupungua lakini hii si kwa wote.Kwahiyo mwanamke hawezi kuwa na hamu tena ya mapenzi!?