SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,814
Toka nduki mjomba
Samahani sana mimi siyo binti!!! Ni mtu mzima.Nmekuelewa sanaa aisee.. una miaka mingapi binti. ..
Umenena sana hapa. Ndiyo maana moja ya post zangu kwa uzi huu nilisema kama tutakua na umri difference kubwa sana ni lazima kuwe na upendo wa hali ya juu sana na nijiridhishe. Ninajua kama upendo ni mkubwa hata ndugu wakija juu mwenzako atakutetea na atafanya kila liwezekanalo kuhakikisha huna stress. Sasa kama pendo ni hafifu utaona jinsi atakapokuambia kuwa kwanza nilikosea, mara hili mara lile na mwishowe mtaishia kutengana tu.uko sawa lakini pia inategemea kama kuna true love u take it lakini kama hakuna ndo shughuli umri ni just a number na utazeeka jinsi utakavyojiweka so kuu ni upendo wa kweli.
Changamoto ni umri amenizdi, kipato amenizid, Elim amenizid. Sema anayo heshima, ni mtiifu, na mshauri mzuri, ana akili ya maisha na anajua mipango. Kiukweli ni kama msaidiz wangu kama Eva kwa Adamu pale bustanini EDEN
Yote sawa .. but mtu mzima kwangu anaanzia 60 years n above..... sijui wewe. . Anyway n neno la kawaida binti..Samahani sana mimi siyo binti!!! Ni mtu mzima.
With thanksYote sawa .. but mtu mzima kwangu anaanzia 60 years n above..... sijui wewe. . Anyway n neno la kawaida binti..
Wewe ukishafikia menopause au kuanza kuchoka kutoa dose,acha mwanaume wako aongeze mke,sio kuleta makelele na wivu wakati engine imechoka tena inatoa moshi kama gari moshi.Duu ukweli kwangu umri ni kigezo kikubwa sana. Ninapendelea kabisa mwanaume anizidi japa hata kwa miezi tu. Ila ikitokea tumependana sana basi nimzidi kwa mwaka 1 au miwili. Ila nimekutana na cases nyingi sana wako wanaume wanapenda kuwa na mahusiano au kuoa mwanamke amempita up to 5 years. Ikifikia hapa ni lazima mwanaume huyo nihakikishe bila chenga kuwa ana upendo wa dhati sana kwa kuwa kwa asili wanawake wengi wanazeeka mapema na hata nguvu ya kumridhisha mwanaume ina deteriorate mapema sana ukilinganishwa na mwanaume. Sasa basi mwanaume huyo kabla hajaniona ni lazima awe amesoma na kuelewa biological life ya mwanamke kwa umri tofauti tofauti ili itakapofikia say menopause basi akubali hali na si kwenda kuwinda mitetea nje. Kwa kuwa wanaume wengi ni wagumu kwa jambo hili basi ni vyema wanawake ku avoid sana kuolewa na wanaume wadogo sana kiumri. Itawatesa mbeleni sana kama busara hazitatumika.
malaika;
Wewe kweli ni malaika kwani umebahatika kuthubutu. Wengi waliopita karibu naye, walivyomwona tu, walinyweaaaa. Wewe ukaonesha uthubutu. Si tu kumvua nguo bali kutia nia ya kuuwania umiliki wake. Nasema B/up sana.
Ushauri;
Umri ni tarakimu tu. Hazina mashiko mbele ya penzi. Namfaham mtu mmoja; Alipooa, watu wakamdhihaki kuwa kamuoa jika la mamake. Jamaa alitoka nyumba maskini lakini leo, waliokuwa wanajifanya ma sonko, wanaenda kuomba kwake ada za kupeleka watoto shule.
Wanaishi kwa amani na furaha ya ajabu. Hata miye nawaonea gere. Angalia moyo wako unako kupeleka. Itakufaidia nini kuoa mtoto wa darasa la 7 asiye na kipato na umemzidi miaka 10 lakini anayekutegemea hadi pichu yake ya ndani??
Mchukue awezaye kukupa ushauri wa kuanzisha shughuli yenu wenyewe, ila usije mgeuka awatemeleenipo mdogo wake yule wa 3 aliyemaliza form V.
Nakuambia wazi kwani vijana wa leo hamchelewi kusahau mlikotoka
Mkuu. Nakuliza je ungekuwa kwenye viatu vyangu vp ungekubali kuoa?? Mana majibu mepesi mepesi ndo tabia ya wengi hum ndan
malaika;
Oa tena haraka sana sherehe siku nyingine kwani ukianza mbwembwe watakuja wengi kukuvunja moyo. Hata ungelialika dunia muzima, saa ya mwisho chumbani utaingia naye peke yake wengine tutabaki nje.
AiseeeeeeeWewe ukishafikia menopause au kuanza kuchoka kutoa dose,acha mwanaume wako aongeze mke,sio kuleta makelele na wivu wakati engine imechoka tena inatoa moshi kama gari moshi.
Loeli usifikiri natania,ukweli ndio huo maana unakuta mwanamke shughuli ya mautamu haiwezi lakini wivu umemjaa,inabidi akubali yaishe au vipi?Aiseeeeeee
Sasa na wewe unashtuka utafikiri imechomoka katikati ya machezo?,ikichomoka si unaishika na kuirudisha ndani au vipi?,halafu machezo yanaendelea mpaka chee au unasemaje mamii?Aiseeeeeee