Avatar
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 11,127
- 11,938
Kupungua kwa hormones za oestrogen kunaleta mabadiliko kwa mwanamke, hamu ya kufanya mapenzi hupungua lakini hii si kwa wote.
Je kuna vyakula labda vya kuchochea kidogo au Synthetic hormones zinazoweza kutumika kumsahidia huyu mtu apate hamu?