Nini madhara ya kuoa mwanamke anayekuzidi umri?

L

Lakini pia patika hizo 40s wanaume nao ndio wanapitia kipindi cha men crisis years ambacho ni kati ya miaka 40-50...naona kama mke nae akianza monopose kipindi hiki inakua ngoma droo Maana mwanaume akiwa na tensions za kazi, financial pressure katika familia, basi nayeye anajikuta muda mwingi anajaribu ku sort out hizi professional problems, less time with family or sex. Nawaza tu!
Kama mlioana mapema muda huu ni wa kupigana na school fees pia malezi ya vijana, wakati huo ndiyo wako kwenye puberty age damu ina mhemko.
 
Hapo umenena, yeye busy mke busy hizo genye ye anazitoa wapi, kodi ya nyumba, schools fees, mafundi wanasumbua kule kwenye kiwanja chenu, akirudi home dady dady anachoka hadi kichwa cha chini kinachoka.
 
Wakuu salaam,

Naomba ushauri wenu wa hali na mali kabla ya kuingia kwenye hii singeli (ndoa), mwanamke niliye naye ni ana umri mkubwa kidogo kuliko mimi, na nipo mbioni kutangaza ndoa.

Noamba ushauri je kuna madhara yoyote nitakumbana nayo kwa kuoa mwanamke aliyenizid umri.

ASANTE.
Hakuna matatizo yoyote sana sana tu atawahi kupotexa mng'ao mapema, ingawa kila.mwanamke huishia kuupotezza kadiri umeinunavyoenda lakini wa kwako atawahi na utaanza kumuona kama si wako.
 
Duu ukweli kwangu umri ni kigezo kikubwa sana. Ninapendelea kabisa mwanaume anizidi japa hata kwa miezi tu. Ila ikitokea tumependana sana basi nimzidi kwa mwaka 1 au miwili. Ila nimekutana na cases nyingi sana wako wanaume wanapenda kuwa na mahusiano au kuoa mwanamke amempita up to 5 years. Ikifikia hapa ni lazima mwanaume huyo nihakikishe bila chenga kuwa ana upendo wa dhati sana kwa kuwa kwa asili wanawake wengi wanazeeka mapema na hata nguvu ya kumridhisha mwanaume ina deteriorate mapema sana ukilinganishwa na mwanaume. Sasa basi mwanaume huyo kabla hajaniona ni lazima awe amesoma na kuelewa biological life ya mwanamke kwa umri tofauti tofauti ili itakapofikia say menopause basi akubali hali na si kwenda kuwinda mitetea nje. Kwa kuwa wanaume wengi ni wagumu kwa jambo hili basi ni vyema wanawake ku avoid sana kuolewa na wanaume wadogo sana kiumri. Itawatesa mbeleni sana kama busara hazitatumika.
Unamanisha baada ya menoause hakunaga kwichikwichi tena?
 
Changamoto ni umri amenizdi, kipato amenizid, Elim amenizid. Sema anayo heshima, ni mtiifu, na mshauri mzuri, ana akili ya maisha na anajua mipango. Kiukweli ni kama msaidiz wangu kama Eva kwa Adamu pale bustanini EDEN
Mkuu kakuzidi vyote? Alikuwa wapi sasa mbona hajaolewa?

Isije ikawa kakuona wewe ndio mnyonge wake na hapo anajifanya mwema ili umwondolee mkosi atakuuzia mbuzi kwenye gunia.

Hakunaga kitu chepesi hivyo kwa mwanamke, yaani akuzidi kila kitu halafu eti anakupenda??? Kuna tatizo mahali tafakari sana.
 
Mabinti Wengi Wazuri Wenye Age Ya 18-20+ Huwa Wanakuaga Too Selective Kwenye Relationship.

Huwa Wanataka Wanaume Wenye Kufanana Nao Ma - handsome Na Wenye Mali,

Mwisho Wa Siku Hujikuta Wametembea Na Wanaume Wengi Lakini No! Ndoa. Wakifika Age Ya 30+

Hapa Utasikia Yoyote Anioe
 
Duu ukweli kwangu umri ni kigezo kikubwa sana. Ninapendelea kabisa mwanaume anizidi japa hata kwa miezi tu. Ila ikitokea tumependana sana basi nimzidi kwa mwaka 1 au miwili. Ila nimekutana na cases nyingi sana wako wanaume wanapenda kuwa na mahusiano au kuoa mwanamke amempita up to 5 years. Ikifikia hapa ni lazima mwanaume huyo nihakikishe bila chenga kuwa ana upendo wa dhati sana kwa kuwa kwa asili wanawake wengi wanazeeka mapema na hata nguvu ya kumridhisha mwanaume ina deteriorate mapema sana ukilinganishwa na mwanaume. Sasa basi mwanaume huyo kabla hajaniona ni lazima awe amesoma na kuelewa biological life ya mwanamke kwa umri tofauti tofauti ili itakapofikia say menopause basi akubali hali na si kwenda kuwinda mitetea nje. Kwa kuwa wanaume wengi ni wagumu kwa jambo hili basi ni vyema wanawake ku avoid sana kuolewa na wanaume wadogo sana kiumri. Itawatesa mbeleni sana kama busara hazitatumika.
Hivi hujaolewa
 
Wakuu salaam,

Naomba ushauri wenu wa hali na mali kabla ya kuingia kwenye hii singeli (ndoa), mwanamke niliye naye ni ana umri mkubwa kidogo kuliko mimi, na nipo mbioni kutangaza ndoa.

Noamba ushauri je kuna madhara yoyote nitakumbana nayo kwa kuoa mwanamke aliyenizid umri.

ASANTE
 
We kaoe huyo bi kizee wako.

Fainali baadaye atakapokuwa anakutreat kama mdogo wake.

Mzidi mwanamke kwa kila kitu kuanzia pesa hadi akili.

Wewe umependa hivyo vihela vyake tu.
Subiri mziki wake
 
Changamoto ni umri amenizdi, kipato amenizid, Elim amenizid. Sema anayo heshima, ni mtiifu, na mshauri mzuri, ana akili ya maisha na anajua mipango. Kiukweli ni kama msaidiz wangu kama Eva kwa Adamu pale bustanini EDEN
Ungejua kilichosababisha asiolewe on time (wakati anaita) usingejitetea hivyo.

Hiyo heshima anaionyesha ili umwoe tu.
Baada ya ndoa hakuna kitu
 
Mwanamke atabaki kuwa hivyo tu always. A woman needs a man to feel herself completed about 90% of women. Haijalishi ME ni wa umri gani ila as long as you are there for her anapata courage. Hata porini nyani ni kero ila hawazodoagi wanawake pakiwemo na kitoto cha kiume kwenye msafara.

Ukilijua hili tu and act right as a man is supposed to wanawake hawawezi kuwa tatizo. Mwanaume lazma ujiamini bana ujikubali and stand firmly katika mahusiano.

Mwanamke daima anapenda kuongozwa tu so atakutazama wewe kama shujaa wake...Don't be a pussy and leave all the stuffs to your lady.
 
Back
Top Bottom