Nini madhara ya kuoa mwanamke anayekuzidi umri?

Nini madhara ya kuoa mwanamke anayekuzidi umri?

umri sio tatizo kama amekuzidi kipato hapo kimbia hrk kama umeona farasi mweupe
 
Co3HHaYWIAA5PEr.jpg
 
Madhara ni kukunjwa na kubanwa kitandani.... pia ukimuudhi atakuwa anakukunja kwa kukukwida makwenzi na ngumi.

Hutafurukuta mbele yake mkiwa mbele za watu akikupiga jicho tuu unakuwa kimyaaa kama umejipuuiia.
Poa atakuwa mbabe kwako na uzuri wake utalekewa kama kinda hasa kulishwa na kuliwazwa.

Kila la kheri.

Ha ha ha! Hakika wewe leo umetoa
 
Tatizo utakalokumbana nalo ni kwamba wanawake.wanachoka.mapema kwenye suala la.sex. Wengine baada ya menopause hawana interest sana na sex wakati we utakuwa.bado kijana mbichi. Hii itakupelekea kuchepuka au kuoa mke mwingine.
 
Changamoto ni umri amenizdi, kipato amenizid, Elim amenizid. Sema anayo heshima, ni mtiifu, na mshauri mzuri, ana akili ya maisha na anajua mipango. Kiukweli ni kama msaidiz wangu kama Eva kwa Adamu pale bustanini EDEN

Huyo atakuendesha kama gari bovu baadae. Ni kawaida kama anatafuta mtu na umri umeenda kuvaa ngozi ya kondoo. Machungu utayaona ukishaingia kwenye ndoa. Huwezi kuwa na sauti kwa mwanamke aliyekizidi kwenye nyanja hizo zote. Kama huamini ma mungu akatuweka hai, oa halafu leta mrejesho hapa jf baada ya miaka 5 kama utakuwa bado hujakimbia ndoa.
 
hakuna shida me ntamwoa alonizid 2 yrs nyumba yangu ina furaha umri si shda
 
Muulize diamond,msami,nuh mziwanda,harmonize na mcheza shoo wa diamond kwa anti
 
Tatizo kwa sasa hakuna ila hutokea pindi mkikwazana na labda ukafanya kosa la kitoto, hapo anaweza kuropoka na kukufanya ujisikie vibaya. Mungu awatangulie lakini
 
Duu ukweli kwangu umri ni kigezo kikubwa sana. Ninapendelea kabisa mwanaume anizidi japa hata kwa miezi tu. Ila ikitokea tumependana sana basi nimzidi kwa mwaka 1 au miwili. Ila nimekutana na cases nyingi sana wako wanaume wanapenda kuwa na mahusiano au kuoa mwanamke amempita up to 5 years. Ikifikia hapa ni lazima mwanaume huyo nihakikishe bila chenga kuwa ana upendo wa dhati sana kwa kuwa kwa asili wanawake wengi wanazeeka mapema na hata nguvu ya kumridhisha mwanaume ina deteriorate mapema sana ukilinganishwa na mwanaume. Sasa basi mwanaume huyo kabla hajaniona ni lazima awe amesoma na kuelewa biological life ya mwanamke kwa umri tofauti tofauti ili itakapofikia say menopause basi akubali hali na si kwenda kuwinda mitetea nje. Kwa kuwa wanaume wengi ni wagumu kwa jambo hili basi ni vyema wanawake ku avoid sana kuolewa na wanaume wadogo sana kiumri. Itawatesa mbeleni sana kama busara hazitatumika.
Nmekuelewa sanaa aisee.. una miaka mingapi binti. ..
 
uko sawa lakini pia inategemea kama kuna true love u take it lakini kama hakuna ndo shughuli umri ni just a number na utazeeka jinsi utakavyojiweka so kuu ni upendo wa kweli.
 
Back
Top Bottom