Nini madhara ya kuoa mwanamke anayekuzidi umri?

Nini madhara ya kuoa mwanamke anayekuzidi umri?

mkuu utapata shida kumdanganya, na atakudhibiti mpaka utaona huna uhuru itabidi uanze kudai uhuru upya baada ya kutoka kwa wazazi sasa utadhibitiwa na mwanamke, mwanamke ana uelewa mkubwa kuliko mwanaume, yote kwa yote mapenzi ndo yanashika kila kitu, age is number,
ukitaka kujua binti wa miaka 20 anamdhibiti mzee wa miaka 40 ije aliekuzidi umri?!!!
 
mkuu utapata shida kumdanganya, na atakudhibiti mpaka utaona huna uhuru itabidi uanze kudai uhuru upya baada ya kutoka kwa wazazi sasa utadhibitiwa na mwanamke, mwanamke ana uelewa mkubwa kuliko mwanaume, yote kwa yote mapenzi ndo yanashika kila kitu, age is number,
ukitaka kujua binti wa miaka 20 anamdhibiti mzee wa miaka 40 ije aliekuzidi umri?!!!
 
We we unafata kipato na uraisi wa maisha tu ila ukishapata unafuu utamchoka tu. Ka una mpenda kweli all the best ka unafata mteremko uzalendo utakushinda tu.
Acha ramli chonganishi, baharia amekuwa honest tu kuwa mwanamke wake ni understanding na ana heshima. Hii ni character ilioko kwa wanawake wengi waliokomaa na wanaojiamini.

Sio wale wanawake wakubwa wa umri ila akili kijiko kama akina Hamisa.
 
Mara nyingi wanawake waliowazidi bwana zao kwa umri huwa Na nidhamu kwenye ndoa.
Hii ipo kwa wengi sana yani, nahisi hata mtume alikula sana nchi kwa bi. Hadija sababu hio.

Kiukweli majority ya wanawake wakubwa wana adabu sana and super understanding endapo uta raise issue. Ni wasikilizaji wazuri na washauri wazuri sana hata mkiwa na mipango ni rahisi ku execute.

Tofauti na hawa damu changa ambao wamebobea kwenye lawama tu ila input ni 0! Ulalamishi mwingi ila kuwajibika hawataki.
 
OKAY MY FRIEND! Remember when i said older women can be manipulating and controlling? Well this is it. Before anything i'd like you to ask yourself and be honest with yourself. Don't worry about an internet stranger trying to give you advise on something that will either make your life happy or make it the worst. DO YOU truly love this woman? Does she make you happy? Do you want to be with her? Are you ready for it? Be honest with yourself about the answers. If most of them are "NO" then my friend DON'T MARRY THAT WOMAN!

On the other hand, just because she's pressuring you to marry her doesn't make it wrong. Kumbuka there's shame to bear especially in our cultures with women who have kids out of wedlock. I know Tanzania is evolving and things are changing, but if she's older than means her thinking is also stagnant to the ideas and influences of older generations. You can't fault her for that. But what you can do is COMMUNICATE with her. Ask her why marriage, what's the rush? And if you plan on marrying her some day, be honest with her. Tell her that you will marry her but your not ready. And why aren't you ready if your not? She'll demand an explanation and rightfully so, give it to her.
Manipulation ni tabia ya wanawake wengi tu hapa duniani na esp. pale ambako anataka kulinda maslahi yake flani lazma atatumia manipulation technique. Ni silaha kama zilivyo silaha nyengine tu za kivita ila matumizi ya hio silaha ndio yataamua kwamba utabaki salama au utaumia.

This has a lot to do with your womans brain. Kama ni mtu mbinafsi na amekuzidi uwezo ataitumia hio technique kukuburuza in most cases atataka awe juu tu na wewe uwe una trail on her back. In contrary, kama mwanamke wako ana hekima then she will use that into making you fall inlove with her each now and then by treating you right na kukupa room ya ku lead kwenye mahusiano.
 
Mnapishana umri kiasi gani mkuu, mi namzidi mume wangu miaka miwili tuna miaka tisa katika ndoa yetu, kama ni kugombana tunagombana kama wana ndoa wengine, na tunaheshimiana na kulea watoto wetu pamoja. Ni baba mwema sana kwa watoto na ni mume mwema kwangu, japo namzidi miaka miwili, hahha.
Utakuwa na udongo mzuri basi, kuna wanawake mpaka on their 50's wanakuwaga wazuri tu hawaba shida.
 
Kuna wamama umri mkubwa lakini wana mvuto sana jamani.
Halafu unakuta wanajua kupenda, heshima, akili, na kunyegeza.

Hata mimi ilibaki kidogo nioe mwanamke ananizidi miaka 4 .
Bahati mbaya tukapotezana mawasiliano kwa muda mrefu.

Tumekuja kuonana ameolewa na mimi nimeoa,, lakini hatukufanya ujinga wa kukumbushia.
Tumebaki kama ndugu sasa.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Mwanamke atabaki kuwa hivyo tu always. A woman needs a man to feel herself completed about 90% of women. Haijalishi ME ni wa umri gani ila as long as you are there for her anapata courage. Hata porini nyani ni kero ila hawazodoagi wanawake pakiwemo na kitoto cha kiume kwenye msafara.

Ukilijua hili tu and act right as a man is supposed to wanawake hawawezi kuwa tatizo. Mwanaume lazma ujiamini bana ujikubali and stand firmly katika mahusiano.

Mwanamke daima anapenda kuongozwa tu so atakutazama wewe kama shujaa wake...Don't be a pussy and leave all the stuffs to your lady.
Sio kwa wamachame
 
Umri amekuzidi, elimu amekuzidi, kipato amekuzidi, akili ya maisha amekuzidi, hata na umbo atakua amekuzidi! Hapa lazima utakuja kujutia....! Baada ya uchanga wa ndoa kuisha utakua houseboy. Kazi za kupika, kufua, kufagia, kutandika kitanda, kudeki na zingine kama hizo utazifanya sana. Na baadae atakua anakuja na wanaume hadi ndani, na unyumba utashindwa kumuomba sababu atakua ndio kichwa cha familia. Achana naye! Kama huamini waulize ndugu zako wa karibu uone watasemaje. Wangu nimemzidi miaka mitano, namzidi kwa kila kitu. Mzee wangu alimzidi mama kwa miaka 11, waliishi vizuri mno, hawajawahi kukorofishana hata siku 1. Kama una swali uliza
Usiisemee ndoa ya baba yako wengine wana hekima sana ya ndani wanamalizia chumbani as i know hakuna ndoa isiyo na tofauti hata ndogo ndogo
 
Back
Top Bottom