Nini madhara ya kuoa mwanamke anayekuzidi umri?

Nini madhara ya kuoa mwanamke anayekuzidi umri?

Jiandae tu kisaikolojia kukabiliana na hali zote za kisaikolojia kwani kakuzidi miaka mingapi, maana yeye anataka ndoa by any means na akipata mtoto na mume atajiridhikia hamu hata ya tendo hukatika hasa akikaribia menopause.

Miaka minne
 
Haina tatizo kama mwanamke atatambua nafasi ya mume na akatekeleza wajibu wake kama mke.
Kikubwa wamependana
 
Kwani huko unapoishi hakuna kbs wanawake wa umri wako au chini zaidi? Madhara; kwanza anajua mambo mengi zaidi yako kwahiyo lazima atakukontroo km alivyoanza sasa hata ushindwe kuona rika lako. Mbili atazeeka mapema na kukukifu mapema so lazima uchepuke jambo litakalosababisha ugomvi mara kwa mara mfarakano na pengine kutengana na kusababishia watoto ukosefu wa malezi ya pande mbili. Tatu hutokuwa huru kutokanae hasa ktk mialiko kwakuwa utahisi watu watakucheka na kukujadili kama tunavyojadili sasa. Nne familia yako itakuchukulia umekaliwa na ni aina ya mwanaume usiekuwa na misimamo. Watoto wenu watakaozaliwa mama anapokuwa na umuri mkubwa wanakuwaga na mapungufu mengi kibiologia na hasa utambuzi wa mambo hata masomo ya darasani. Kuna mengi.
 
Ka umempenda kweli hujafata mteremko muoe tu jitoe ufahamu coz its love utamvumilia yote ila ka si vyo itakuja kukushinda

Okay thanks. But napata mkanganyiko wa fikra kila napoona unazungumzia kuhusu kufuata mteremko mana me na hiyo michezo ya watoto wa Bongo Fleva ni Tofauti
 
Kwani huko unapoishi hakuna kbs wanawake wa umri wako au chini zaidi? Madhara; kwanza anajua mambo mengi zaidi yako kwahiyo lazima atakukontroo km alivyoanza sasa hata ushindwe kuona rika lako. Mbili atazeeka mapema na kukukifu mapema so lazima uchepuke jambo litakalosababisha ugomvi mara kwa mara mfarakano na pengine kutengana na kusababishia watoto ukosefu wa malezi ya pande mbili. Tatu hutokuwa huru kutokanae hasa ktk mialiko kwakuwa utahisi watu watakucheka na kukujadili kama tunavyojadili sasa. Nne familia yako itakuchukulia umekaliwa na ni aina ya mwanaume usiekuwa na misimamo. Watoto wenu watakaozaliwa mama anapokuwa na umuri mkubwa wanakuwaga na mapungufu mengi kibiologia na hasa utambuzi wa mambo hata masomo ya darasani. Kuna mengi.

Asante. Hakika una maono ya kweli
 
Okay thanks. But napata mkanganyiko wa fikra kila napoona unazungumzia kuhusu kufuata mteremko mana me na hiyo michezo ya watoto wa Bongo Fleva ni Tofauti
Vijana wengi wana date vibibi kwa ajili ya short cut ya life ndo mteremko wakati no real life. Sasa wakishaona pesa si kitu ndo wanaanza kuhangaika
 
Vijana wengi wana date vibibi kwa ajili ya short cut ya life ndo mteremko wakati no real life. Sasa wakishaona pesa si kitu ndo wanaanza kuhangaika

Hapana naomba punguza double standard hata vibibi( Cougars) nao sikuhiz wana DATE vijana for the sake of maximum satisfaction or some other personal reasons
 
Mapenzi is undefinable term. Nikisema ni USHENZI, nitamkosea Muumba
 
Umri sio kikwazo mkuu kikubwa ni mmoja awe chini ya mwenzie ila wote mkijiweka juu hamtaishi lazima mmoja akubali kuwa chini ya mwezie either ww au yeye
 
Wakuu salaam,

Naomba ushauri wenu wa hali na mali kabla ya kuingia kwenye hii singeli (ndoa), mwanamke niliye naye ni ana umri mkubwa kidogo kuliko mimi, na nipo mbioni kutangaza ndoa.

Noamba ushauri je kuna madhara yoyote nitakumbana nayo kwa kuoa mwanamke aliyenizid umri.

ASANTE.
kamuulize Barack Obama
 
Madhara ni kukunjwa na kubanwa kitandani.... pia ukimuudhi atakuwa anakukunja kwa kukukwida makwenzi na ngumi.

Hutafurukuta mbele yake mkiwa mbele za watu akikupiga jicho tuu unakuwa kimyaaa kama umejipuuiia.
Poa atakuwa mbabe kwako na uzuri wake utalekewa kama kinda hasa kulishwa na kuliwazwa.

Kila la kheri.
 
Back
Top Bottom