Hatari zilizoko kwenye ngono ya nyuma
Uchafu: Ushoga unawaweka wahusika katika hali ya hatari ya uambukizi kwa sababu ya IDADI KUBWA YA VIINI VYA MAAMBUKIZI. Hii ni hatari kubwa sana hasa uume inapotumbukizwa kwenye tundu ya kutolea kinyesi kwanza halafu kwenye tundu ya tupu ya mwanamke.
Magonjwa ya kuambukizwa: Magonjwa yanayoambatana na ngono ya nyuma ni HIV, saratani ya tundu ya mav.i na yale yanayopatikana kwenye mav.i kwa mfano: kuambukizwa kwa njia ya mkojo (UTIs), amoebiasis, shango, kisonono, salmonellosis, kaswende na mengineo.
Ushoga ni mojawapo ya ngono hatari SANA kwa uambukizi wa HIV.
Kuharibika kwa rectum [bakuli] na tundu ya kutolea mav.imatokeo yake ni kutoweza kuzuia hata mav.i. Kwa kina mama wanao karibia kujifungua upata sana tabu wanaposukuma mtoto kwa ajili ya kuzaa na matokeo yake kutoka kinyesi badala ya mtoto, na hii inasababisha madhara kwa mama na mtoto.
Ukumbuke hata ukitumia kondomu ngono ya nyuma ni hatari sana
NB:
Ikiwa una maswali yoyote tafadhali waulize wauguzi na madaktari katika Zahanati iliyo karibu yako, watakusaidia kwa karibu zaidi.