ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,478
- 41,419
Umeoa kumbe sa itakuaje nilitaka kujiweka😢Nafikir kwa mara ya kwanza tangu nimeoa
Ilikuaje ?mwaka huu ndiyo nimemuita mtu hilo jina la Shem. Sijawahi kulielewa.
Hata sifahamu.huyo ajui labda The Icebreaker
Nimeshachelewa 😢sikuhizi vipofu wanaona😎
niambie unatania😪Nimeshachelewa 😢
Huwezi kuona tena Wallah
Nitolee ma dislike aisee sitakiiMambo ya wasukuma yanaingiaje hapo tena?
Huyo niliyemuita shem mmoja alikuwa mke wa Kaka yangu na mwingine ni kaka wa mke wangu.Umeoa kumbe sa itakuaje nilitaka kujiweka😢
Ilikuaje ?
Kumuita mtu shem
inamana Anything can happen 😊
Natania love ❤️niambie unatania😪
UsinipangieNitolee ma dislike aisee sitakii
Unajua nini hiii ni maajabu 😅Huyo niliyemuita shem mmoja alikuwa mke wa Kaka yangu na mwingine ni kaka wa mke wangu.
Kuhusu kujiweka linazungumzika, cha muhimu usiri.
si unajua kutunza siri lakini?Unajua nini hiii ni maajabu 😅
Sijui kabisasi unajua kutunza siri lakini?
Tangu lini shemeji akawa kakaVyote kwa pamoja.
Kitu ambacho nimeshindwa nikumuita mume wa dada yangu "shemeji"
Namwita "kaka"
Yap. Shemeji linasound kiheshima zaidiIla we jamaa sijui umewaza nini😅
But mimi hua naona tu neno Shem limekaa kimchongo mchongo
Kama ni shemeji basi iwe shemeji
Duuh.!shem darling lolote linaweza kutokea kati ya shem ake na shem ake kikubwa muwe watunza siri