Nini maana ya neno UCHOCHEZI?

Nini maana ya neno UCHOCHEZI?

Uchochezi ni kutoa maoni yako whastapp na Facebook na polisi kudukua na wasikte neno likihusu ccm na serikali ila linalohusu Ukawa na chadema funguka uwezavyop,hata ukisema Lowasa kajinyea sawa tu
 
Hilo neno halina limepoteza maana kabisa, mfano eti hata hiyo picha ni UCHOCHEZI!!
 
Attachments

  • 1474445589180.jpg
    1474445589180.jpg
    45.3 KB · Views: 76
Neno "uchochezi" ni msamiati mpya utumiwao na policcm wenye lengo la kuuzuia ukweli mchungu unaogusa mienendo isiyoridhisha ya wale tuliowapa dhamana ya kuliongoza Taifa hili.Habari yeyote itolewayo katika jamii ikitunukiwa "daraja la uchochezi", basi tambua habari hiyo ina ukweli mchungu ambao viongozi wetu wasingependa usemwe na kusikika masikioni mwa umma wa watanzania,hivyo kinachoitwa uchochezi mara nyingi ni habari/ madai/hoja za ukweli zisizo na majibu na ili kuzizima huishiwa kutunukiwa " shahada" ya uchochezi.
 
Ni jaribio lolote la kutaka kudadadisi, kuhoji au kukosoa utendaji wa serikali.
Ni vema wananchi wakajikita na kufanya kazi tu na kuacha kufatilia mwenendo wa serikali au mambo yoyote ya kisiasa.
 
Kwa kweli tunahitaji mjadala wa Kitaifa wa kisheria kuhusu maana halisi ya 'Uchochezi'.

Kwa nini limekuwa prominent namna hii in recent times? Seriously we need to know what is going on
 
Hakika Maana Vyombo Muhimu Na Vyeti Kama Mahakama Idara Yao Ya Elimu Kwa Umma Itupatie Maana Na Tafsiri Ya Neno Uchochezi Ili Tuwe Makini Kuhusu Hilo Neno.

Kwasasa Ni Kama Uonevu Na Ukandamizaji Kutufunga Mdomo Tusiseme Jambo Lolote
 
Mjadala kwa manufaa ya nani sasa? Hawa akina Lema na Lisu? Waache waisome namba.

AasiyefundiShwa na ***** hufundishwa na ulimwengu.
 
Kwa kweli tunahitaji mjadala wa Kitaifa wa kisheria kuhusu maana halisi ya 'Uchochezi'.

Kwa nini limekuwa prominent namna hii in recent times? Seriously we need to know what is going on

Ni wazo jema ila nauliza tujadiliane kwa lugha ipi,Kiswahiloi,Kiingereza au kiswanglis? Na katika familia zetu pia tuanzishe mijadala ya lugha ipi ya watoto kujibizana na wazazi wao na aina ya lugha za wanandoa.
 
Kuna siku nilikuwa namsikiliza mwanasheria mmoja kwenye radio - TBC kuhusu uchochezi, alisema hivi kwa mfano unaweza ukasema kwamba mtu fulani amefanya kosa hili na lile, lakini utakapotoa hukumu au kushawishi watu waende kumdhuru namna fulani ndo utakuwa umechochea watu. lakini ukiishia kutaja mabaya yake ukaishia hapo kutakuwa hakuna uchochezi wowote uliofanyika.
 
Kumkosoa mtukufu Rais tu ni uchochezi.
Hayo mengine jiongeze........!!!
 
Kuna siku nilikuwa namsikiliza mwanasheria mmoja kwenye radio - TBC kuhusu uchochezi, alisema hivi kwa mfano unaweza ukasema kwamba mtu fulani amefanya kosa hili na lile, lakini utakapotoa hukumu au kushawishi watu waende kumdhuru namna fulani ndo utakuwa umechochea watu. lakini ukiishia kutaja mabaya yake ukaishia hapo kutakuwa hakuna uchochezi wowote uliofanyika.
Unaposema hivyo na hatimaye ukasema watu wasache uoga maana yake ni waende wakamdhuru.
 
Kuna siku nilikuwa namsikiliza mwanasheria mmoja kwenye radio - TBC kuhusu uchochezi, alisema hivi kwa mfano unaweza ukasema kwamba mtu fulani amefanya kosa hili na lile, lakini utakapotoa hukumu au kushawishi watu waende kumdhuru namna fulani ndo utakuwa umechochea watu. lakini ukiishia kutaja mabaya yake ukaishia hapo kutakuwa hakuna uchochezi wowote uliofanyika.
Unaweza kusema ubaya wa mtu na watu wakachukizwa na ubaya wake na kumzuru bila ya kuhamasisha, kwa mfano aje mtu aseme wewe mwanga katika area yako unayo ishi, nini kitatokea kwa watu walio kuzunguka?

Uchochezi maana yake ni kusema ukweli, kudai haki yako pia ni Uchochezi, serikali haitakuwa tayari kukupa haki yako,na itafanya kila njia kukwepa ukweli na kutafuta kila njia kuzima madai yako, hasa madai ya wengi kuwapa ni ngumu sana kuliko mtu moja mmoja.

Uchochezi Tanzania inatumika katika kunyamazisha wadai mabadiliko na haki katika utawala.
 
Uchochezi ni;
Kumuita bwege
kumita ki.la.za
kumsema vibaya kwenye FB na Whattsup hata kama ni kweli
na
kumjaribu
 
Tunaweza kujadili kwa lugha ambayo wengi wataelewa nini maana neno uchochezi?

Back
Top Bottom