Unaweza kusema ubaya wa mtu na watu wakachukizwa na ubaya wake na kumzuru bila ya kuhamasisha, kwa mfano aje mtu aseme wewe mwanga katika area yako unayo ishi, nini kitatokea kwa watu walio kuzunguka?
Uchochezi maana yake ni kusema ukweli, kudai haki yako pia ni Uchochezi, serikali haitakuwa tayari kukupa haki yako,na itafanya kila njia kukwepa ukweli na kutafuta kila njia kuzima madai yako, hasa madai ya wengi kuwapa ni ngumu sana kuliko mtu moja mmoja.
Uchochezi Tanzania inatumika katika kunyamazisha wadai mabadiliko na haki katika utawala.