ntemintale
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 956
- 1,878
Itakuwa tafsiri ya Sizonje
Mbele ya Mwenye heri hakuna aliye salamaSijui nani atapona!!
"Wakulima uzeni mazao yenu kwa bei kubwa/mnayoitaka"weka tafsiri ya kamusi kwanza halafu ndio tuweke ya kisheria
Hahahahaah kweli mkuu hata mim naliona hilousione hakuna majibu.
kwani kujibu tu maana ya uchochezi na kwenyewe ni uchochezi.
Uchochezi katika mtazomo upi wa:Ndugu wana jukwaa,
Napata shida sana kuelewa maana ya hili neno.
Nawasilisha hoja.
KWANZA SALAM,
Nimejiuliza bila majibu nini maana ya uchochezi? spika makinda amekataa hotuba ya kambi ya upinzini isiingie kwenye hansad kwakuwa eti imejaa uchochezi sasa nikawa najiuliza uchochezi ni kusema matukio yaliyofanywa na serikali lakini hayawafurahishi wananchi?
Hivi ukisema mulongo aliwatishia waandishi wa habari kwa kuwaambia wakiandika habari za kumkashifu kiongozi wanaweka maisha yao rehani huo ni uchochezi?
Uukisema serikali ilimuua Mwangosi ni uchochezi?
Ukusema usalama wa taifa walimteka Ulimboka huo ni uchochezi?
NAOMBA WAELEWA ZAIDI WANISAIDIE, HATATA WALE WANACCM MLIOKO HAPA JAMVINI MNISAIDIE