HASIDIMLALEO
Member
- Oct 1, 2017
- 8
- 6
Wananguze naomba kujua maana ya hili neno mazwazwa na etimilojia yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Najalib kupata picha huyo MTU ambae hana mbele wala nyuma yuokojeMazwazwa watu wa hovyo hovyo yasiyokuwa na akili yani hayana mbele wala nyuma yani 'vihiyo' waliopata GPA ya 32 pale SUA ya Dodoma.
Shwari mkuu. Nimewahi taswira kamili.Mazwazwa watu wa hovyo hovyo yasiyokuwa na akili yani hayana mbele wala nyuma yani 'vihiyo' waliopata GPA ya 32 pale SUA ya Dodoma.
Yupo kama ubaoNajalib kupata picha huyo MTU ambae hana mbele wala nyuma yuokoje
Sent using Jamii Forums mobile app