GENGE LA WATEKAJI NA WAUWAJI KWISHAAAAA

GENGE LA WATEKAJI NA WAUWAJI KWISHAAAAA

Kiboko ya Mazwazwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2026
Posts
1,947
Reaction score
3,513
ccm ni genge la wajinga sana ukitaka kujua nachosema angalia machawa yao humu jf na kwingineko mbaya zaidi angalia kiongozi wao anayeitwa kihongos ndio utaona kuwa kwasasa hilo genga limegeuka comedians assisted by coercive apparatus kubaki kwenye mamlaka. Eti kihongos amekusanya mazwazwa yake ya kusomba kwa matela ya matrekta na malori halafu anayaambia heche anapewa na lissu barua za maridhiano anachana halafu hayo mazwazwa ya kusomba yanashangilia, hizo ni akili matope, yani lissu atake maridhiano na genge la wafiraji na watekaji NEVER EVER tena kihongosi mimi nakupa taarifa kuwa usijaribu hata kuota tu kuwa utafanya maridhiano na CHADEMA nyinyi si milishinda kwa asilimia 98 tafuteni maridhiano na akina ACT,Chaumma,ADc,NLD n.k. kwasasa chadema itawashughulikia ularo ularo bila hadaa za kijingajinga wapuuzi nyinyi.
 
Nape amesema, kuna watu ambao si wanasiasa, wameingilia siasa. Huyu ni miongoni mwao.

CCM inapaswa kuwa na viongozi wanaojua kujenga hoja, sio viongozi ambao wakitoa hoja inakuwa kichekesho. Ukiwa na viongozi wa aina hii ni lazima utegemee dola ikubebe isivyo halali.

Wanadhani wanaimaliza CHADEMA kumbe wanajimaliza wenyewe. Leo hii hakuna mtu anajiunga CCM kwaajili itikadi, wengi ni uchawa na kutafuta wepesi wa maisha, vinginevyo wote wangekuwa CHADEMA.
 
Back
Top Bottom