Nini maana ya mambo haya?

Binadamu tunaongezeka kwa Kasi sana ni hatari kwa dunia ni vyema tuwe balance Kuna umuhimu mkubwa mno na moja ya kitu kinachofanya watu tuwe wengi Sana ni huduma zinazokidhi za afya na chakula pamoja na amani.

Sio vibaya kuwa na hivyo vitu ni Jambo zuri lakini sio wote wanaokubali kuwa balance tunazaliana hovyo mwishowe dunia itushindwe kutumudu!. Naomba nisiongeze Wala nisipunguze ila niishie hapo.
Halafu hii concept ya kua dunia inajaa watu ni uongo mtupu..naturally dunia haiwezi kujaa to the extent that inaleta madhara, haiwezi na haitaweza.. tumekakarishwa tokea mashulen huko kuwa dunia ina undergo overpopulation na kwamba watu inabidi wapunguze kuzaliana.. lakin ukichunguza kwa makin ni kinyume kabisa na agizo la MUUMBAJI mwenyewe kuwa tuzae tuongezeke tuijaze nchi.
Yani hadi sasa kuna maeneo makubwa hajawa covered na watu.. ni mapori na vijijin huko.. lakin utasikia eti dunia iko overpopulated na kua inatakiwa iwe depopulated, mi hainiingii akilini kabisa... Sio bure kuna agenda itakuwa imejificha ya depopulation humu.
 
Kizazi chako kijacho kikija kusoma hii komenti yako watajilaumu kwanini hukuyajua haya!.
 
sababu za kupungua watu ni nying
Umeipitia hiyo data? Marekani wanategemewa kupungua zaidi ya milioni 200, Tanzania karibu milioni 20 --------- HADI MIAKA 5 IJAYO. Unawezaje kueleza hayo kwa mtazamo ulioweka hapa mkuu?
 
On population projections, hiyo ni SIMPLE MATHEMATICS hata wewe unaweza kufanya kama ukiwekeza muda kidogo in that area, kama huamini nenda pale TANZANIA Bureau of Statistics ukaone hayo MAHESBU pale. Kwa hiyo hili si la ajabu kiviiile , labda mengine!
mkuu kwa kuwa wewe tayari ulishaenda na kuona, hebu tuambie ni kwa vipi ndani ya miaka 5, marekani itapunguza watu milioni 200 na Tanzania watu milioni 20?
 
Sababu inaweza isiwe hayo maconspiracy theories. Mfano kwa Tanzania kile kizazi ambacho walikuwa wanazaliwa watoto zaidi ya kumi kwenye familia zetu(mababa zetu) saivi wanarange kwenye umri wa miaka 60 or more, lakini wengi wao wameishia kuzaa watoto wa4 or less ambao wengi wao mpaka saivi wengi hawana watoto au wana watoto wawili or mmoja. Kwahiyo projection ina maana hao wazee wakifa na replacement ikiendelea kuwa ndogo obviously kutakuwa na depopulation. We chunguza mababa zetu walianza kuzaa watoto wakiwa na umri gani then compare na vijana wa saivi wengi Ana 30 na hajazaa hata mmoja kutokana na hali ngumu.
 
Wanajidanganya tu hao,hawawezi kutupunguza kwa kiasi wanachotaka wao,subirini muone tu...
 
Corona ndio experiment ambayo itaendelea kutumika ku - balance population!!!coz ni rahisi kutumika kwa wenye akili!!!Hadi sasa wamefanikiwa kutuaminisha ni ugonjwa kumbe ni mfumo wa kumaliza watu kwa kutumia kemikali za kupuliza kama Dawa ya Rungu inavo ua wadudu!!?JUHUDI ZINAENDELEA!!!
 
mkuu kwa kuwa wewe tayari ulishaenda na kuona, hebu tuambie ni kwa vipi ndani ya miaka 5, marekani itapunguza watu milioni 200 na Tanzania watu milioni 20?
Hili swali anaweza kulijibu mleta mada hii, mimi siwezi ila kuhusu population projections, kama nilivyo sema ni suala la mahesabu tu. Halina any miracles!
 
Corona ndio experiment ambayo itaendelea kutumika ku - balance population!!!coz ni rahisi kutumika kwa wenye akili!!!Hadi sasa wamefanikiwa kutuaminisha ni ugonjwa kumbe ni mfumo wa kumaliza watu kwa kutumia kemikali za kupuliza kama Dawa ya Rungu inavo ua wadudu!!?JUHUDI ZINAENDELEA!!!
wenye jicho kama lako mkuu ndio wanaona kinachoendelea. barikiwa
 
Back
Top Bottom