Nini maana ya mambo haya?

Nini maana ya mambo haya?

acha uoga muamini Mungu yupo achana na kujitafutia mambo yasiyokua na tija, hao wanaohangaika na mambo meengi ndio huwa wanaharibikiwa mwisho wa siku, kama kufa kila mtu atakufa sasa wasiwasi wa nini? kama wamarekani na majigambo yao yooote watapukutika kwa takwimu zako ulizotoa wewe ni nani uogope maana kwa mijibu wa bandiko lako tanzania tutapungua lakini sio kwa kiwango cha ajabu kama marekani si ushukuru Mungu tu?
 
nimependa maneno haya //muamini Mungu yupo//
Hilo hasa ndilo lengu kuu la post hii na sio woga.
Dunia inaelekea mwisho.
Lakini wengi hawajui.
kama ukitambua na kumwamini Mungu, UMEMALIZA kila kitu.
Lakini siwezi kuandika kama post ya kiimani maana haitakaa hata nusu saa kabla ya kufutwa.
 
Yatakuwa ni maandalizi ya agenda 2030, saa hizi kuna economic crisis kubwa sana inaendelea duniani na haionyeshi dalili za ku recover........kule marekani projections za kiuchumi hazileti matumaini na wapo kwenye hatari ya ku default kama hawata raise debt ceiling.....pia sintofahamu inayoendelea duniani kuyahusisha mataifa makubwa mfano china na marekani, iran na israeli inaweza ku trigger vita ya tatu ya dunia.......kuna abrupt changes ambazo zitatokea duniani come 2030, ndo maana hawa watu wa sirini wanaongelea hiki kitu ambacho hakieleweki kwa uwazi sana kilichobatizwa jina la agenda 2030.
 
U

Uko sahihi sana mkuu.
 
Website inayoitwa Diagel.com ni website kubwa ambayo inaongelea masuala mbalimbali kuhusu nchi zote duniani. Inapata taarifa zake kutoka vyanzo mbalimbali vikubwa, kama vile CIA, idara ya ulinzi ya Marekani, benki ya dunia, nk.

Unaweza kusoma taarifa za Bwana Diagel mwenyewe HAPA. Utagundua si mtu tu wa kawaida kama mimi.

Mojawapo ya jambo nyeti linaloongelewa na website yake ni Matarajio ya idadi ya watu (Population projections) yatakavyokuwa hadi mwaka 2025 (miaka 4 ijayo) kwa kila nchi.

Ifuatayo ni mifano ya nchi chache.
View attachment 1966477
....
View attachment 1966480
.....
View attachment 1966481
....
View attachment 1966479
....

Kutokana na mifano hiyo hapo juu, tunapata summary ifuatayo:

Nchi Idadi ya sasaInayotarajiwa 2025Wanaotarajiwa kupungua
ChinaBilioni 1.439Bilioni 1.358Milioni 80
MarekaniMilioni 330Milioni 99Milioni 230
UrusiMilioni 145Milioni 141Milioni 4
KanadaMilioni 37Milioni 26Milioni 11
TaiwaniMilioni 23Milioni 18Milioni 5
AjentinaMilioni 45Milioni 41Milioni 4
PolandiMilioni 37Milioni 33Milioni 4
TanzaniaMilioni 60Milioni 42Milioni 18

Unaweza kusoma population projection ya nchi zote HAPA.

MASWALI
  1. Idadi ya watu itaongezeka au itapungua?
  2. Kiwango cha upunguaji ni kidogo au ni kikubwa?
  3. Ni kitu gani HASA kitafanya watu wapungue? Mfano, nini kitasababisha Wamarekani watoke milioni karibu 330 hadi milioni 99? Hao milioni 230 wataenda wapi?
……………..
Asilimia kubwa ya watu wana misemo yao waliyozoea. Husema, mzungu angetaka kutumaliza angeshatumaliza. Mzungu akuangamize ili apate faida gani?
…………
Please, think again. Huenda hujajua mambo MAOVU yanayoendelea ulimwenguni ambayo hata ukiambiwa, akili haiwezi kuyabeba. Utasema ni uongo tu.

How I wish someone could listen and see what is going on!
KeyserSoze nakukaribisha pia usome post yangu hii
 
Binadamu tunaongezeka kwa Kasi sana ni hatari kwa dunia ni vyema tuwe balance Kuna umuhimu mkubwa mno na moja ya kitu kinachofanya watu tuwe wengi Sana ni huduma zinazokidhi za afya na chakula pamoja na amani.

Sio vibaya kuwa na hivyo vitu ni Jambo zuri lakini sio wote wanaokubali kuwa balance tunazaliana hovyo mwishowe dunia itushindwe kutumudu!. Naomba nisiongeze Wala nisipunguze ila niishie hapo.
Anza kupungua wewe kwanza! Options, Glass ya bia na Fragil, kitanzi,. au meza vipande vya chupa, au kula sumu ya panya!

Namaanisha kuwa!

Kwanini hao wanaotaka tupungue, hawaanzi kujipunguza wao?? Kila binadamu anahaki ya kuishi (Right to live)
 
Hawataki kuanza kwa sababu wanasema sisi ni USELESS EATERS - kwamba hatuongezezi chochote kwenye uchumi wa dunia bali tunakula tu na hatuna faida.
 
Kitu ambacho sio sahihi! wao kama wanaona sisi ni mzigo, , ni issue ya kufunga mipaka all around the world! na ikiwezekana bara kwa bara
 
tamaa yao haiishii hapo. Wanataka pia na rasilimali zetu. Yaani dunia yote iwe na serikali moja inayoongozwa na UN --- kitu wanachoita new world order.
 
Nadhani New aworld Order, haijalenga kupunguza population, inalenga kuifanya dunia kuwa na single identy katika maeneo anuai hasa ya huduma, bidhaa na kazi!

Ingawa nayo ni Conspiracy tu.
 
Dahh,hii kitu ni classified.lkn hizo data nashindwa kuzielewa,nilitegemea nchi za afrika ndio ziwe na projections ndogo za watu lkn marekani ndiyo anaprojection ndogo kuliko rwanda!!!

Hizi data hazina ukweli
 
Website inayoitwa Diagel.com ni website kubwa ambayo inaongelea masuala mbalimbali kuhusu nchi zote duniani. Inapata taarifa zake kutoka vyanzo mbalimbali vikubwa, kama vile CIA, idara ya ulinzi ya Marekani, benki ya dunia, nk.

Unaweza kusoma taarifa za Bwana Diagel mwenyewe HAPA. Utagundua si mtu tu wa kawaida kama mimi.

Mojawapo ya jambo nyeti linaloongelewa na website yake ni Matarajio ya idadi ya watu (Population projections) yatakavyokuwa hadi mwaka 2025 (miaka 4 ijayo) kwa kila nchi.

Ifuatayo ni mifano ya nchi chache.
View attachment 1966477
....
View attachment 1966480
.....
View attachment 1966481
....
View attachment 1966479
....

Kutokana na mifano hiyo hapo juu, tunapata summary ifuatayo:

Nchi Idadi ya sasaInayotarajiwa 2025Wanaotarajiwa kupungua
ChinaBilioni 1.439Bilioni 1.358Milioni 80
MarekaniMilioni 330Milioni 99Milioni 230
UrusiMilioni 145Milioni 141Milioni 4
KanadaMilioni 37Milioni 26Milioni 11
TaiwaniMilioni 23Milioni 18Milioni 5
AjentinaMilioni 45Milioni 41Milioni 4
PolandiMilioni 37Milioni 33Milioni 4
TanzaniaMilioni 60Milioni 42Milioni 18

Unaweza kusoma population projection ya nchi zote HAPA.

MASWALI
  1. Idadi ya watu itaongezeka au itapungua?
  2. Kiwango cha upunguaji ni kidogo au ni kikubwa?
  3. Ni kitu gani HASA kitafanya watu wapungue? Mfano, nini kitasababisha Wamarekani watoke milioni karibu 330 hadi milioni 99? Hao milioni 230 wataenda wapi?
……………..
Asilimia kubwa ya watu wana misemo yao waliyozoea. Husema, mzungu angetaka kutumaliza angeshatumaliza. Mzungu akuangamize ili apate faida gani?
…………
Please, think again. Huenda hujajua mambo MAOVU yanayoendelea ulimwenguni ambayo hata ukiambiwa, akili haiwezi kuyabeba. Utasema ni uongo tu.

How I wish someone could listen and see what is going on!
On population projections, hiyo ni SIMPLE MATHEMATICS hata wewe unaweza kufanya kama ukiwekeza muda kidogo in that area, kama huamini nenda pale TANZANIA Bureau of Statistics ukaone hayo MAHESBU pale. Kwa hiyo hili si la ajabu kiviiile , labda mengine!
 
Tufanye unachokisema kina ukweli na ndivyo kitakavyofanyika. Hapo kwenye kupunguza watu umesema vaccine itafanya kazi.

Je, kwenye projection za watu kuongezeka wanatumia kitu gani kuongeza watu?

Na ukiangali kati ya Burundi na Tanzania, tuna kitu cha tofauti kinachochangia idadi kwa wenzetu iongezeke na kwetu ipungue?
 
Population inaji-control yenyewe mkuu mkiwa over-populated naturally magonjwa na fighting for resources kutawapunguza automatically...

Sasa wewe huoni faida ya kuwa na population kulingana na resources ? Wachina kuna kipindi ilikuwepo sheria ya kuzaa mtoto mmoja unadhani kwanini walifanya hivyo ?

Tupende tusipende watu wakizidi lazima watu wafe ili ku-balance; kama sio magonjwa au kukosa resources basi kupigana na fighting for survival itapelekea survival of the fittest na wengine kuangamia...

Hata wewe fuga kuku kwenye eneo dogo utaona tu wanavyoongezeka kulingana na eneo na vifo vitaongezeka (Its Nature) na hii ni ecosystem lazima iwe balanced
 
Nadhani New aworld Order, haijalenga kupunguza population, inalenga kuifanya dunia kuwa na single identy katika maeneo anuai hasa ya huduma, bidhaa na kazi!

Ingawa nayo ni Conspiracy tu.
hicho ndicho wanacholenga mkuu.

Hebu ona hawa wachache wanavyosema kuhusu idadi ya watu:

1. Bill Gates
The world today has 6.8 billion people...that's headed up to about 9 billion. If we do a really great job on vaccines, health care, reproductive health services, we could lower that by perhaps 10 to 15 percent.
2. Ted Turner (American entrepreneur, television producer, media owner (CNN, etc), and philanthropist.)
A total population of 250-300 million people, a 95% decline from present levels, would be ideal.
3. Prince Philip
In the event that I am reincarnated, I would like to return as a deadly virus, in order to contribute something to solve overpopulation.
4. Jacques Yves Cousteau (French explorer, conservationist, filmmaker, innovator, scientist, photographer and researcher)
In order to stabilize world population, we must eliminate 350,000 per day.

Yaani wanaongea kana kwamba mtu anaongelea kuku au panya.
 
Website inayoitwa Diagel.com ni website kubwa ambayo inaongelea masuala mbalimbali kuhusu nchi zote duniani. Inapata taarifa zake kutoka vyanzo mbalimbali vikubwa, kama vile CIA, idara ya ulinzi ya Marekani, benki ya dunia, nk.

Unaweza kusoma taarifa za Bwana Diagel mwenyewe HAPA. Utagundua si mtu tu wa kawaida kama mimi.

Mojawapo ya jambo nyeti linaloongelewa na website yake ni Matarajio ya idadi ya watu (Population projections) yatakavyokuwa hadi mwaka 2025 (miaka 4 ijayo) kwa kila nchi.

Ifuatayo ni mifano ya nchi chache.
View attachment 1966477
....
View attachment 1966480
.....
View attachment 1966481
....
View attachment 1966479
....

Kutokana na mifano hiyo hapo juu, tunapata summary ifuatayo:

Nchi Idadi ya sasaInayotarajiwa 2025Wanaotarajiwa kupungua
ChinaBilioni 1.439Bilioni 1.358Milioni 80
MarekaniMilioni 330Milioni 99Milioni 230
UrusiMilioni 145Milioni 141Milioni 4
KanadaMilioni 37Milioni 26Milioni 11
TaiwaniMilioni 23Milioni 18Milioni 5
AjentinaMilioni 45Milioni 41Milioni 4
PolandiMilioni 37Milioni 33Milioni 4
TanzaniaMilioni 60Milioni 42Milioni 18

Unaweza kusoma population projection ya nchi zote HAPA.

MASWALI
  1. Idadi ya watu itaongezeka au itapungua?
  2. Kiwango cha upunguaji ni kidogo au ni kikubwa?
  3. Ni kitu gani HASA kitafanya watu wapungue? Mfano, nini kitasababisha Wamarekani watoke milioni karibu 330 hadi milioni 99? Hao milioni 230 wataenda wapi?
……………..
Asilimia kubwa ya watu wana misemo yao waliyozoea. Husema, mzungu angetaka kutumaliza angeshatumaliza. Mzungu akuangamize ili apate faida gani?
…………
Please, think again. Huenda hujajua mambo MAOVU yanayoendelea ulimwenguni ambayo hata ukiambiwa, akili haiwezi kuyabeba. Utasema ni uongo tu.

How I wish someone could listen and see what is going on!
sababu za kupungua watu ni nying
 
Back
Top Bottom