Nini maana ya dhana Tunataka Mabadiliko?

Lord Denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
23,491
Reaction score
57,959
Amani iwe nanyi wadau,
Kwa kipindi sasa kuna jambo limekuwa likiniwazisha sana hasa Kwa wapenzi wa Chadema, ukawa na baadhi ya washabiki wao pale wanapolitumia kwenye kujenga ushawishi neno Tunataka mabadiliko. Hili ni neno ambalo wamekuwa wakilisema kwa kipindi sasa wakiwa wanatarget kuwa wanapolisema tu basi maana yake kuu ni kuiondoa CCM madarakani.

Napenda kutoa historia fupi ya umaarufu wa hili neno ambayo najua wengi wenu humu mnaifahamu. Neno hili kwa lugha nyingine CHANGE lilipata umaarufu hasa pale raisi wa sasa wa Marekani Barack Obama alipolichagua kama kaulimbiu yake kwenye mchakato wake wa kisiasa katika kuutafuta uraisi wa Marekani mnamo mwaka 2008. Neno hili alilichagua na kulitumia akiwa hamaanishi kuwa wamarekani wanataka change ya kubadiri chama kwa sababu alianza kulitumia tangu kwenye mchakato wa ndani wa chama chake yaani Democrats akiwa anamaanisha wamarekani wanaitaji mabadiriko ya kisera za kiuchumi, kijamii, kiulinzi na usalama na hata za kimaisha. Huu ndo msingi wa neno CHANGE/MABADILIKO KWENYE SIASA. Hata mwalimu Nyerere aliposema watanzania wanataka mabadiriko wasipoyapata CCM watayapata nje ya CCM ukiangalia ile hotuba kuna vitu aliviongelea na vilikuwa vinne kikiwemo Rushwa na vingine vitatu, na ndo baadae akasema kuwa watanzania wanaitaji mabadiriko kwenye ivo vitu wa wasipovipata CCM watavitafuta nje ya CCM. Hii inamaanisha mabadiliko kwenye siasa sio kubadirisha vyama.

Nimeamua kutoa haya maelezo mafupi nikiwa naionea huruma jamii hii ya watanzania huku nikiwa nawaza mawazo ya Yule Dr wa kizungu anayejulikana kama Dr. Watson aliyesemaga kuwa ana wasiwasi na akili ya mtu mweusi.
Ninasema haya kwa sababu kwa jinsi wafuasi, wapenzi na wanachama wa Chadema wanapolitumia hili neno wao wanachowaza kikubwa ni kuwa maana ya mabadiriko ni kukiondoa chama kinachotawala madarakani wakati kiuhalisia hali haiko ivo. Inaniuma zaidi eti wanaposema hawa wamekaa miaka 50 na sasa tuweke wengine as if uongozi ni kujaribu hasa wan chi. Kweli Africa we have a long way to go.

Dhana ya mabadiliko/ change inapotumika kisiasa inamaanisha ni mabadiriko KWENYE SERA HASA ZA KIUCHUMI, KIJAMII NA KISIASA, INAMAANISHA MABADIRIKO KWENYE MTINDO WA KUENDESHA MAMBO HASA YA KIUTAWALA ILI JAMII IONE KITU TOFAUTI HASA KWENYE MAISHA YAO YA KILA SIKU NA SIO KUHUSU KUBADIRI CHAMA TU.

Kuna watu watatu nimewasikiliza wiki hii, wa kwanza ni Ndugu Humphrey Polepole na wa pili na Dr Kitila Mkumbo na wa tatu ni Jenerali Ulimwengu ambaye nimemsoma kwenye gazeti la leo la Raia Mwema. Humphrey amezungumzia kwa mapana sana tangu wiki iliyopita na hadi wiki hii na kusema kweli nimefarijika sana kuona jamii ya Tanzania ina mtu mwingine mwenye upeo wa tofauti na ulio mbali kama wake(wa kwanza kwangu ni Prof Muhongo) huyu mtu bila kumung’unya maneno ameweza kuelezea kwenye vipindi alivoalikwa kinagaubaga kuwa Tanzania inaitaji mtu wa aina Fulani na mwenye uwezo Fulani. Kwa Dr Kitila alisema wazi kuwa vyama vya upinzani vinaonekana kuwa dhumuni lao kuu ni kushika madaraka tu yaani kukamata dola ndo mana wanasema tutumie silaha yeyote ile( kwa hapa nikapata picha kuwa kumbe hawa viongozi lengo kuu sio kuja na sera mbadala zinazoonyesha ni kwa jinsi gani watamkomboa mtanzania na nchi yetu mama Tanzania). Kwa Jenerali Ulimwengu amegusia kwa jinsi gani ushabiki usio na maono na upenzi wenye kupapalikia mambo unaoliangamiza taifa letu na siku ya mwisho hatupati kitu tunachotakiwa kupata.

Hawa wachambuzi watatu wameugusa sana moyo wangu na kwa uzoefu wangu nimegundua kuwa nchi hii inaharibiwa na wanasiasa kwa sababu fikra zao ndo zinaiharibu wafuasi wao ambao ni sehemu ya jamii ya watanzania. U chambuzi wa hawa watu umenifanya nitafakari sana maneno ya Dr Watson kuwa mtu mweusi ana matatizo Fulani kwenye akili yake. Kwa sababu kiuhalisia Chadema/Ukawa hawajajipambanua kisera, Lowassa hajajipambanua kisera hasa kujibu how question yaani atafanya nini na kivipi na hata fedha atapata wapi zaidi ya kusema tu Fulani kakuta sukari bei Fulani, kakuta kitu Fulani bei Fulani na sasa ivi kaacha kikiwa bei Fulani alafu wapenzi wake wanashangilia tu raisi raisi raisi bila kupembenua vizuri ni nini kasema ni kwa nini iwe yeye kwa sera zake/utekelezaji wake tofauti na mwingine.

Kitu kinachoniumiza zaidi ni pale ninapojiuliza kama tatizo kuu la nchi hii ni ufisadi, utumiaji mbaya wa madaraka, uvivu, porojo, kuabudu wenye mali, wizi, porojoporojo na unafiki hivi mtu ambaye kwa miaka yake tuliyomfahamu na kumuona kuwa ana mambo mengi sana ambayo ni matatizo kwa Tanzania yet u ndo huyu apewe nchi yetu aiongoze?????? Kama jibu ndio basi kweli Dr Watson atakuwa yuko sahihi asilimia 100 kuwa ana matatizo na akili ya mtu mweusi.

Nawatakia siku mpya njema wadau.
Mungu awabariki.
 
Dhana kamili mabadiliko kuwepo yani kukifanya chama kikuu ccm kuwa chama pinzani nacho kianze kukosoa na kutomiliki ngunguli
 
Basi kama ni hivo Dr. Watson yuko sahihi sana kuwa akili na mtu mweusi ina walakini.
 
Kitila, Muhongo, Ulimwengu, Polepole nao ni watu weusi, kwa hiyo kwa theory yako hiyo wana matatizo ya akili ! Na wewe ingawa sikufahamu, naamini ni mtanzania na ni mtu mweusi vile vile.......kwa theory unayoiamini, wewe utakuwa na matatizo ya akili.....

Change ni neno la kiingereza (mabadiliko kwa kiswahili) lilikuwepo kabla ya Obama na Nyerere hawajazaliwa !. Linaweza likatumika kwenye maeneo mengine ambayo sio ya kisiasa au linaweza likatumika kwa namna tofauti katika siasa. Obama
aliamu a kulitumia kwa namna hiyo na Nyerere naye kama ulivyoeleza. Wao hawalimiliki hili neno, na hivyo haina maana kwamba yeyote anayetaka kulitumia basi lazima alitumie au amaanishe kile alichokisema Obama au Nyerere.....

Kwa members wengi tu wa UKAWA (sio wote), wanapolitumia hili neno wana maana kuiondoa CCM madarakani, hivyo kwa sasa hivi na kwa uchaguzi huu, Change kwao ni kubadili chama kilichopo madarakani (CCM) na kuwaweka UKAWA (CHADEMA kwa JMT na CUF kwa upande wa Zanzibar). Kama unaona wamekosea kutumia neno hilo, hebu wewe sema watumie neno gani ambalo linafit zaidi.....

Kitu ambacho, mimi binafsi ningependa kwa Tz, ni sisi wananchi waTz tuwe na uwezo ambao uko wazi kabisa wa kuiwajibisha serikali yetu au viongozi wetu. Itakapofika mahali ambapo, kila mtu anajua kabisa kwamba kura yake ina-count then hapo mimi nitaridhika..... Hili bado ni tatizo hapa kwetu (kura ina-count kwa sehemu tu, ila uchakachuaji una nafasi pia) na hata kwa nchi nyingine za kiafrika !. Tukiwa na uwezo huo, then viongozi watakuwa na discipline na watawajibika kwa wananchi kwani watakuwa wanajua kwamba mamlaka yao yanatokana na wananchi na wakiboa wananchi watawaweka kando....

Nilifarijika tulipoanza mchakato wa katiba, nikitegemea at least tungeweka msingi wa kuelekea kuwapa wananchi mamlaka yao, lakini CCM wakavuruga mchakato na kuamua kwamba mawazo yao ndio mawazo ya watanzania...

Mimi nataka UKAWA wachukue nchi kwa sababu ninaamini wataweza kutupatia vitu vifuatavyo vya msingi katika nchi yetu....

1. Katiba mpya yenye maoni ya wananchi
2. Kuimarishwa kwa mifumo ambayo itasaidia kukuza demokrasia hapa nchini
- Tume huru ya uchaguzi
- Mahakama
- Bunge
etc

With CCM, ni mambo yale yale, hakutakuwa na chochote kipya.......Hawatufai, inabidi wakae kando !
 
Mimi ningependa sisi wananchi waTz tuwe na uwezo ambao uko wazi kabisa wa kuiwajibisha serikali yetu au viongozi wetu. Itakapofika mahali ambapo, kila mtu anajua kabisa kwamba kura yake ina-count then hapo mimi nitaridhika..... Hili bado ni tatizo hapa kwetu (kura ina-count kwa sehemu tu, ila uchakachuaji una nafasi pia) na hata kwa nchi nyingine za kiafrika !. Tukiwa na uwezo huo, then viongozi watakuwa na discipline na watawajibika kwa wananchi kwani watakuwa wanajua kwamba mamlaka yao yanatokana na wananchi na wakiboa wananchi watawaweka kando....

Nilifarijika tulipoanza mchakato wa katiba, nikitegemea at least tungeweka msingi wa kuelekea kuwapa wananchi mamlaka yao, lakini CCM wakavuruga mchakato na kuamua kwamba mawazo yao ndio mawazo ya watanzania...

Mimi nataka UKAWA wachukue nchi kwa sababu ninaona wataweza kutupatia vitu vifuatavyo vya msingi katika nchi yetu....

1. Katiba mpya yenye maoni ya wananchi
2. Kuimarishwa kwa mifumo ambayo itasaidia kukuza demokrasia hapa nchini
- Tume huru ya uchaguzi
- Mahakama
- Bunge
etc

With CCM, ni mambo yale yale, hakutakuwa na chochote kipya.......Hawatufai, inabidi wakae kando !
Kama ulimsikiliza vizuri jana Dr. Kitila Mkumbo na pia kama wewe ni mfuatiliaji vizuri wa siasa za Tanzania utagundua kuwa kinachoenda kuchukua nchi sio ukawa kama ukawa ni Taasisi ya Lowassa kupitia ukawa. Lowassa ni taasisi na ana genge lake wenye malengo yao. Take it from me if it happens that akawa raisi(God forbid) kitakachoongoza nchi ni taasisi yake ianyounda genge lake na itikadi zao na malengo yao(najua unanielewa nikizungumzia Rostam, Karamagi, Chenge, mzee wa shivacom, Media tycoon na watu wao kina Mahanga, chizi, msindai na wengine.
Take it from me katiba yetu na sheria yetu ya uchaguzi na vyama vya siasa havijaeleza kinaga ubaga pale raisi akiama chama kunatokea nini sasa usishangae Lowassa akiingia magogoni kupitia ukawa akatafuta sababu akatemana na ukawa akaanzisha Chama Chake kinachoongoza na taasisi ya genge lake.
Take it from me, usitarajie katiba ya serikali 3 kutoka kwa mtu aliyelelewa na kukuzwa na Kingunge na anaesupportiwa na Kingunge.
So hata kwenye hio katiba mpya usiwe na mategemeo makubwa sana kwa sababu Lowassa ni bingwa wa Fitna na kama unabisha waulize Chadema Monduli aliwafanya nini kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka jana.
 
Nili-edit post yangu hapo juu probably hujaisoma yote na haya ndio niliyoyaongeza :

Kitila, Muhongo, Ulimwengu, Polepole nao ni watu weusi, kwa hiyo kwa theory yako hiyo wana matatizo ya akili ! Na wewe ingawa sikufahamu, naamini ni mtanzania na ni mtu mweusi vile vile.......kwa theory unayoiamini, wewe utakuwa na matatizo ya akili.....

Change ni neno la kiingereza (mabadiliko kwa kiswahili) lilikuwepo kabla ya Obama na Nyerere hawajazaliwa !. Linaweza likatumika kwenye maeneo mengine ambayo sio ya kisiasa au linaweza likatumika kwa namna tofauti katika siasa. Obama
aliamu a kulitumia kwa namna hiyo na Nyerere naye kama ulivyoeleza. Wao hawalimiliki hili neno, na hivyo haina maana kwamba yeyote anayetaka kulitumia basi lazima alitumie au amaanishe kile alichokisema Obama au Nyerere.....

Kwa members wengi tu wa UKAWA (sio wote), wanapolitumia hili neno wana maana kuiondoa CCM madarakani, hivyo kwa sasa hivi na kwa uchaguzi huu, Change kwao ni kubadili chama kilichopo madarakani (CCM) na kuwaweka UKAWA (CHADEMA kwa JMT na CUF kwa upande wa Zanzibar). Kama unaona wamekosea kutumia neno hilo, hebu wewe sema watumie neno gani ambalo linafit zaidi.....

Back kwa post yako hii......Kama kuna watu, vigeugeu ambao wanaongea vitu kwa maslahi binafsi, naaamini Kitila ni mmoja wapo ! Juzijuzi hapa alipongeza Lowassa kwenda CDM na akasema, kama angetaka kwenda ACT angehakikisha wanamchukua ! Angeenda huko ACT, asingekuwa institution ?

Lowassa na hao wote uliowataja si walikuwa CCM (na wengi bado wako huko) na Lowassa alikuwa Waziri Mkuu kupitia CCM, katika Genge la watu hao hao wakiongozwa na Kikwete....Mbona hilo Genge tena kwa ukamilifu wake ndio limekuwa likiongoza TZ tangu 2005 ? Sasa kuna ubaya gani Lowassa akiwa Rais kupitia CDM ?

Ninaamini CDM wako disciplined kuliko CCM by far na kama Lowassa angegombea kupita CCM nisingempa kura yangu lakini kupitia UKAWA nitampa kwa sababu atakuwa anatekeleza sera za CDM/UKAWA !

Kweli !

Kwa upande wetu sisi katika UKAWA, dhana hii ina maana kuwaondoa CCM madarakani na kuwaweka CHADEMA kwenye serikali ya JMT na CUF kwenye serikali ya mapinduzi Zanzibar...

Mabadiliko aliyoyafanya Kikwete Tanzania kwa miaka yake 10 ni mfano mzuri sana wa dhanna ya mabadiliko.

Katika kila nyanja.
 
Kweli !

Kwa upande wetu sisi katika UKAWA, dhana hii ina maana kuwaondoa CCM madarakani na kuwaweka CHADEMA kwenye serikali ya JMT na CUF kwenye serikali ya mapinduzi Zanzibar...

Hapo ndipo siku zote mnapoishia kudondokea pua.

Mtaendelea kuchukuwa mabaki ya uchafu uliotemwa na CCM daima.
 
Nili-edit post yangu hapo juu probably hujaisoma yote na haya ndio niliyoyaongeza :
Kitila, Muhongo, Ulimwengu, Polepole nao ni watu weusi, kwa hiyo kwa theory yako hiyo wana matatizo ya akili ! Na wewe ingawa sikufahamu, naamini ni mtanzania na ni mtu mweusi vile vile.......kwa theory unayoiamini, wewe utakuwa na matatizo ya akili.....

Change ni neno la kiingereza (mabadiliko kwa kiswahili) lilikuwepo kabla ya Obama na Nyerere hawajazaliwa !. Linaweza likatumika kwenye maeneo mengine ambayo sio ya kisiasa au linaweza likatumika kwa namna tofauti katika siasa. Obama
aliamu a kulitumia kwa namna hiyo na Nyerere naye kama ulivyoeleza. Wao hawalimiliki hili neno, na hivyo haina maana kwamba yeyote anayetaka kulitumia basi lazima alitumie au amaanishe kile alichokisema Obama au Nyerere.....

Kwa members wengi tu wa UKAWA (sio wote), wanapolitumia hili neno wana maana kuiondoa CCM madarakani, hivyo kwa sasa hivi na kwa uchaguzi huu, Change kwao ni kubadili chama kilichopo madarakani (CCM) na kuwaweka UKAWA (CHADEMA kwa JMT na CUF kwa upande wa Zanzibar). Kama unaona wamekosea kutumia neno hilo, hebu wewe sema watumie neno gani ambalo linafit zaidi.....

Back kwa post yako hii......Kama kuna watu, vigeugeu ambao wanaongea vitu kwa maslahi binafsi, naaamini Kitila ni mmoja wapo ! Juzijuzi hapa alipongeza Lowassa kwenda CDM na akasema, kama angetaka kwenda ACT angehakikisha wanamchukua ! Angeenda huko ACT, asingekuwa institution ?

Lowassa na hao wote uliowataja si walikuwa CCM (na wengi bado wako huko) na Lowassa alikuwa Waziri Mkuu kupitia CCM, katika Genge la watu hao hao wakiongozwa na Kikwete....Mbona hilo Genge tena kwa ukamilifu wake ndio limekuwa likiongoza TZ tangu 2005 ? Sasa kuna ubaya gani Lowassa akiwa Rais kupitia CDM ?

Ninaamini CDM wako disciplined kuliko CCM by far na kama Lowassa angegombea kupita CCM nisingempa kura yangu lakini kupitia UKAWA nitampa kwa sababu atakuwa anatekeleza sera za CDM/UKAWA !
Nakubaliana na wewe ndugu kuwa change inaweza kuwa na maana nyingi sana lakini kumbuka kila neno lina maana yake kutokana na mahala linapotumika. Niliposema change na kuweka mabadiriko ni ilikuwa kueleza hii dhana umaarufu wake kisiasa umeanzia wapi hasa. Nadhani unakumbuka hata kwenye halmashauri kuu ya chadema walibeba mabango yaliyoandikwa change na kwa upande mwingine Lowassa na kama unafuatilia mambo ivo ndo wafuasi wa obama walivokuwa wanafanya mwaka 2008 so mpaka hapa niko sahihi ninapolitumia neno change/mabadiriko kwenye sehemu hii.
Kama maana ya change ndo iyo unayoisema wewe basi ni bora kusiwe na icho kitu kwa sababu kinamfaa nini raia wa kawaida kubadiri watu wa kushika madaraka tu ili hali maisha yake yanaendelea kuwa vilevile????
Sijamsifia kitila kwenye maeneo mengine bali nimemsifia kwenye ile logic aliyoitoa juzi kuhusu viongozi wa ukawa na chadema mnavojitanabaisha na wala sio uongo ivo ndo mbowe alivoongea wakati wa kumpokea Lowassa na ndo msigwa alivoongea zaidi ya mara mbili akihojiwa na kwenye vipindi vya mada moto.
Nafikiri we ni mgeni kwenye siasa za Tanzania na kama sio mgeni basi hufuatilii vizuri, unasema CDM ni smart kuliko CCM????? Nafikiri huwajui CCM vizuri na huwajui Mangula na Kinana vizuri( kwa kukusadiia tu nikukumbushge kama unaikumbuka dhana ya kujivua gamba? basi kama ukumbuki angalia vitu vinavotokea CCM saivi chini ya makamu mwenyekiti anayesimamia maadili mkulima wa nyanya Mzee Mangula.
Usimuangalie Nape ukasema ndo CCM, Kuna smart people na strategic wanaoenda na kuamini kwenye wanalolisema kama Mangula na Kinana hapo ndo uingalie CCM.
Nafikiri bado humjui Lowassa, na hujui kuwa ni vigumu sana kumuhusisha Lowassa na hii CCM inayojibadili saivi ili kujijengea taswira safi kwa watanzania.
Kama hujui ndugu Lowassa alianza rafu mapema sana, kundi lake lilianza kumuandaa mapema sana na CCM walijua mapema sana hilo walichokuwa wanakifanya na wamefanikiwa ni kuonyesha kuwa nguvu ya pesa haiwezi kuwatoa tena kwenye misingi yao. Shughuli mnayo nyie sasa.
 
Hao unaowaita nyumbu na wewe unayejiona bora zaidi yao, weight ya kura zenu inalingana !.
hata weight ya kura ikilingana haimaanishi tunalingana. tofauti yetu iko palepale. au unafikiri wakimpigia huyo wanayemtaka watalingana?
tunachotaka ni watu wajenge uwezo waku-reason kama alivyoandika mleta uzi. sio watu kuburuzwa tu. tunataka watu wajue wanachokifanya na madhara yake. mtu kama anafanya ajue outcome yake ikoje. chukulia mifano mizuri kama akina slaa na Lipumba kwa upande mmoja na akina lisu kwa upande mwengine. kila mmoja ana-reason why. sio kuwa nyumbu hata kwa mambo yanayohusu mustakabali wa taifa.
 
Kweli !

Kwa upande wetu sisi katika UKAWA, dhana hii ina maana kuwaondoa CCM madarakani na kuwaweka CHADEMA kwenye serikali ya JMT na CUF kwenye serikali ya mapinduzi Zanzibar...
Na hapo ndo mnapotuthibitishia kuwa kumbe nyie mnataka madaraka tu na sio kuleta mbinu na sera mpya za kumkomboa mtanzania na kuifanya tanzania ya ahadi ipaatikane kwa manufaa ya watanzania wote. Sahauni kupata kura za wanaojielewa ndugu.
 
All in all we need change, change in every sphere of life, wewe tukana lkn watu washahamua, muda mliopewa umetosha na hakuna la maana!! Hakuna namna nyingine tena wananchi watakachoamua ndio uamuzi uwe mwema au mbaya!!!
 
Kweli Dr Watson atakuwa yuko sawa sana kama hiyo ndo akili yako( ila kama umelewa nisamehe ,najua ukiwa sober utakuwa na mtazamo tofauti)
 
pia kitu kingine wanachoshindwa kuelewa hawa jamaa ni mfumo wa hizi nchi zetu za dunia ya tatu. hivi wewe unafikiri lowassa akiwa pale magogoni kuna wakwenda kumhoji? na jinsi alivyombabe hawahawa wanaopiga kelele humu watakuwa wakwanza kurudishiwa getini. hivi wao wanafikiri mtu kama rostam ambaye walianza naye kitambo kunawakumzuia kwenda ikulu kisa lowasa anatokana na chadema? wakati hata hela zinazotumika sasa hivi nyingine ni za haohao akina rostam?
wawaulize wakenya, walifikiri kibaki akiingia katiba ingebadilishwa, lakini jamaa alikaa team lake lote la kwanza kimya. team la pili mpaka wakenya wakamwaga damu ndo huyo kibaki akasikia.

Kama ulimsikiliza vizuri jana Dr. Kitila Mkumbo na pia kama wewe ni mfuatiliaji vizuri wa siasa za Tanzania utagundua kuwa kinachoenda kuchukua nchi sio ukawa kama ukawa ni Taasisi ya Lowassa kupitia ukawa. Lowassa ni taasisi na ana genge lake wenye malengo yao. Take it from me if it happens that akawa raisi(God forbid) kitakachoongoza nchi ni taasisi yake ianyounda genge lake na itikadi zao na malengo yao(najua unanielewa nikizungumzia Rostam, Karamagi, Chenge, mzee wa shivacom, Media tycoon na watu wao kina Mahanga, chizi, msindai na wengine.
Take it from me katiba yetu na sheria yetu ya uchaguzi na vyama vya siasa havijaeleza kinaga ubaga pale raisi akiama chama kunatokea nini sasa usishangae Lowassa akiingia magogoni kupitia ukawa akatafuta sababu akatemana na ukawa akaanzisha Chama Chake kinachoongoza na taasisi ya genge lake.
Take it from me, usitarajie katiba ya serikali 3 kutoka kwa mtu aliyelelewa na kukuzwa na Kingunge na anaesupportiwa na Kingunge.
So hata kwenye hio katiba mpya usiwe na mategemeo makubwa sana kwa sababu Lowassa ni bingwa wa Fitna na kama unabisha waulize Chadema Monduli aliwafanya nini kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka jana.
 
Hakuna mwanasiasa asiyetaka madaraka duniani !.

Sera zetu zinasukwa mkuu, subiri tu kidogo wakati wa campaign kila kitu kitakuwa wazi na hapo utaamini kwamba tupo very very serious !

Mimi ninajielewa na ninafahamu watu wengi tu wanaojielewa na wanaunga mkono UKAWA......Ni kweli kwa namna fulani Lowassa ameleta some negative effect kwetu, lakini overall effect aliyoilta ni positive, ni swala la mahesabu tu. Kuna wanaoamini kwamba tumekosea kumwacha agombee na hata mimi mwanzoni nilifikiri tumefanya makosa na ukisoma posts zangu za nyuma utaona nilivyopinga kwa nguvu kubwa.

Sasa hivi naamini uamuzi huo ni sahihi na nime-waconvince watu wanaojielewa na wana elimu zao kubwa tu (wawili masters na mmoja Phd). Watu hawa kama mimi hapo mwanzoni, walipinga Lowassa kupeperusha bendera ya UKAWA, lakini sasa nimewa-convince na wamebadili mtizamo. Mtu mmoja wa karibu kwangu ambaye mpaka sasa hivi nimeshindwa kubadilisha mtazamo wake ni mke wangu (kwa ubunge na udiwani yupo UKAWA ila urais amehama baada ya kumsimamisha Lowassa). Ninaamini nitafanikiwa kubadili mtizamo wake kabla ya uchaguzi...

Kama nilivyosema, ninaamini uamuzi huu wa UKAWA ni sahihi....whether niko right or wrong itathibitika october 25, tuvute subira...

Na hapo ndo mnapotuthibitishia kuwa kumbe nyie mnataka madaraka tu na sio kuleta mbinu na sera mpya za kumkomboa mtanzania na kuifanya tanzania ya ahadi ipaatikane kwa manufaa ya watanzania wote. Sahauni kupata kura za wanaojielewa ndugu.
 
Nili-edit post yangu hapo juu probably hujaisoma yote na haya ndio niliyoyaongeza :
Kitila, Muhongo, Ulimwengu, Polepole nao ni watu weusi, kwa hiyo kwa theory yako hiyo wana matatizo ya akili ! Na wewe ingawa sikufahamu, naamini ni mtanzania na ni mtu mweusi vile vile.......kwa theory unayoiamini, wewe utakuwa na matatizo ya akili.....

Change ni neno la kiingereza (mabadiliko kwa kiswahili) lilikuwepo kabla ya Obama na Nyerere hawajazaliwa !. Linaweza likatumika kwenye maeneo mengine ambayo sio ya kisiasa au linaweza likatumika kwa namna tofauti katika siasa. Obama
aliamu a kulitumia kwa namna hiyo na Nyerere naye kama ulivyoeleza. Wao hawalimiliki hili neno, na hivyo haina maana kwamba yeyote anayetaka kulitumia basi lazima alitumie au amaanishe kile alichokisema Obama au Nyerere.....

Kwa members wengi tu wa UKAWA (sio wote), wanapolitumia hili neno wana maana kuiondoa CCM madarakani, hivyo kwa sasa hivi na kwa uchaguzi huu, Change kwao ni kubadili chama kilichopo madarakani (CCM) na kuwaweka UKAWA (CHADEMA kwa JMT na CUF kwa upande wa Zanzibar). Kama unaona wamekosea kutumia neno hilo, hebu wewe sema watumie neno gani ambalo linafit zaidi.....

Back kwa post yako hii......Kama kuna watu, vigeugeu ambao wanaongea vitu kwa maslahi binafsi, naaamini Kitila ni mmoja wapo ! Juzijuzi hapa alipongeza Lowassa kwenda CDM na akasema, kama angetaka kwenda ACT angehakikisha wanamchukua ! Angeenda huko ACT, asingekuwa institution ?

Lowassa na hao wote uliowataja si walikuwa CCM (na wengi bado wako huko) na Lowassa alikuwa Waziri Mkuu kupitia CCM, katika Genge la watu hao hao wakiongozwa na Kikwete....Mbona hilo Genge tena kwa ukamilifu wake ndio limekuwa likiongoza TZ tangu 2005 ? Sasa kuna ubaya gani Lowassa akiwa Rais kupitia CDM ?

Ninaamini CDM wako disciplined kuliko CCM by far na kama Lowassa angegombea kupita CCM nisingempa kura yangu lakini kupitia UKAWA nitampa kwa sababu atakuwa anatekeleza sera za CDM/UKAWA !
kwenye bold hapo, nani kakuambia kura sera za ccm ni mbaya? nitajie japo sera moja tu ya ccm ambayo ni mbaya.
 
Kitila, Muhongo, Ulimwengu, Polepole nao ni watu weusi, kwa hiyo kwa theory yako hiyo wana matatizo ya akili ! Na wewe ingawa sikufahamu, naamini ni mtanzania na ni mtu mweusi vile vile.......kwa theory unayoiamini, wewe utakuwa na matatizo ya akili.....

Change ni neno la kiingereza (mabadiliko kwa kiswahili) lilikuwepo kabla ya Obama na Nyerere hawajazaliwa !. Linaweza likatumika kwenye maeneo mengine ambayo sio ya kisiasa au linaweza likatumika kwa namna tofauti katika siasa. Obama
aliamu a kulitumia kwa namna hiyo na Nyerere naye kama ulivyoeleza. Wao hawalimiliki hili neno, na hivyo haina maana kwamba yeyote anayetaka kulitumia basi lazima alitumie au amaanishe kile alichokisema Obama au Nyerere.....

Kwa members wengi tu wa UKAWA (sio wote), wanapolitumia hili neno wana maana kuiondoa CCM madarakani, hivyo kwa sasa hivi na kwa uchaguzi huu, Change kwao ni kubadili chama kilichopo madarakani (CCM) na kuwaweka UKAWA (CHADEMA kwa JMT na CUF kwa upande wa Zanzibar). Kama unaona wamekosea kutumia neno hilo, hebu wewe sema watumie neno gani ambalo linafit zaidi.....

Kitu ambacho, mimi binafsi ningependa kwa Tz, ni sisi wananchi waTz tuwe na uwezo ambao uko wazi kabisa wa kuiwajibisha serikali yetu au viongozi wetu. Itakapofika mahali ambapo, kila mtu anajua kabisa kwamba kura yake ina-count then hapo mimi nitaridhika..... Hili bado ni tatizo hapa kwetu (kura ina-count kwa sehemu tu, ila uchakachuaji una nafasi pia) na hata kwa nchi nyingine za kiafrika !. Tukiwa na uwezo huo, then viongozi watakuwa na discipline na watawajibika kwa wananchi kwani watakuwa wanajua kwamba mamlaka yao yanatokana na wananchi na wakiboa wananchi watawaweka kando....

Nilifarijika tulipoanza mchakato wa katiba, nikitegemea at least tungeweka msingi wa kuelekea kuwapa wananchi mamlaka yao, lakini CCM wakavuruga mchakato na kuamua kwamba mawazo yao ndio mawazo ya watanzania...

Mimi nataka UKAWA wachukue nchi kwa sababu ninaamini wataweza kutupatia vitu vifuatavyo vya msingi katika nchi yetu....

1. Katiba mpya yenye maoni ya wananchi
2. Kuimarishwa kwa mifumo ambayo itasaidia kukuza demokrasia hapa nchini
- Tume huru ya uchaguzi
- Mahakama
- Bunge
etc

With CCM, ni mambo yale yale, hakutakuwa na chochote kipya.......Hawatufai, inabidi wakae kando !
kwenye red ya pili hapo inaonyesha angalau wewe unaelewa unachotaka. lakini hau nyumbu huku kitaa ukiwauliza swali ni nini hasa wanachotaka jibu utakaloambulia ni kuitoa ccm madarakani na kuweka ukawa. na neno change limefanya kazi hapo kwa mujibu wao. sasa nikuulize swali, hivi hata neno change analolitumia lowasa ni la kubadilisha vyama madarakani kama ulichochambua hapo juu kwenye red ya kwanza?
 
Kitila, Muhongo, Ulimwengu, Polepole nao ni watu weusi, kwa hiyo kwa theory yako hiyo wana matatizo ya akili ! Na wewe ingawa sikufahamu, naamini ni mtanzania na ni mtu mweusi vile vile.......kwa theory unayoiamini, wewe utakuwa na matatizo ya akili.....

Change ni neno la kiingereza (mabadiliko kwa kiswahili) lilikuwepo kabla ya Obama na Nyerere hawajazaliwa !. Linaweza likatumika kwenye maeneo mengine ambayo sio ya kisiasa au linaweza likatumika kwa namna tofauti katika siasa. Obama
aliamu a kulitumia kwa namna hiyo na Nyerere naye kama ulivyoeleza. Wao hawalimiliki hili neno, na hivyo haina maana kwamba yeyote anayetaka kulitumia basi lazima alitumie au amaanishe kile alichokisema Obama au Nyerere.....

Kwa members wengi tu wa UKAWA (sio wote), wanapolitumia hili neno wana maana kuiondoa CCM madarakani, hivyo kwa sasa hivi na kwa uchaguzi huu, Change kwao ni kubadili chama kilichopo madarakani (CCM) na kuwaweka UKAWA (CHADEMA kwa JMT na CUF kwa upande wa Zanzibar). Kama unaona wamekosea kutumia neno hilo, hebu wewe sema watumie neno gani ambalo linafit zaidi.....

Kitu ambacho, mimi binafsi ningependa kwa Tz, ni sisi wananchi waTz tuwe na uwezo ambao uko wazi kabisa wa kuiwajibisha serikali yetu au viongozi wetu. Itakapofika mahali ambapo, kila mtu anajua kabisa kwamba kura yake ina-count then hapo mimi nitaridhika..... Hili bado ni tatizo hapa kwetu (kura ina-count kwa sehemu tu, ila uchakachuaji una nafasi pia) na hata kwa nchi nyingine za kiafrika !. Tukiwa na uwezo huo, then viongozi watakuwa na discipline na watawajibika kwa wananchi kwani watakuwa wanajua kwamba mamlaka yao yanatokana na wananchi na wakiboa wananchi watawaweka kando....

Nilifarijika tulipoanza mchakato wa katiba, nikitegemea at least tungeweka msingi wa kuelekea kuwapa wananchi mamlaka yao, lakini CCM wakavuruga mchakato na kuamua kwamba mawazo yao ndio mawazo ya watanzania...

Mimi nataka UKAWA wachukue nchi kwa sababu ninaamini wataweza kutupatia vitu vifuatavyo vya msingi katika nchi yetu....

1. Katiba mpya yenye maoni ya wananchi
2. Kuimarishwa kwa mifumo ambayo itasaidia kukuza demokrasia hapa nchini
- Tume huru ya uchaguzi
- Mahakama
- Bunge
etc

With CCM, ni mambo yale yale, hakutakuwa na chochote kipya.......Hawatufai, inabidi wakae kando !

Wewe ni great thinker hilo halina ubishi
 
Back
Top Bottom