Siamini mtu mwenye common sense ya kawaida tu anaweza kubadili mawazo yake kwa kutumia hiyo sababu niliyoiwekea red hapo chini achia mbali msomi wa chuo kikuu anayejitambua....labda kuwe na force nyingine zaidi ya hiyo sababu....
Hauna ulazima wa kuamini ninachosema. Mimi niliamua kumtolea mdau hapo hiyo mifano baada ya yeye kusema kwamba hakuna mtu anayejielewa atakayesupport UKAWA......by the way, nilio-waconvince ni co-workers na kiwango changu cha elimu kinafanana au kukaribiana na cha kwao.....
October 25 sio mbali, tuvute subira.

Hebu tuwekee hizo argument ulizotumia kuwashawishi hao wasomi, isije ikawa ndo zilezile za siku zote kwamba Lowasa ana wafuasi wengi bila kujali athali ambayo taifa litapata. Na naomba utuambie hayo yanayosababisha overall effect ya Lowasa kuhammia Chadema kuwa positive.
Nirudie msemo wa mleta maada kuwa Lowasa ni Taasisi, ambayo imeamua kusaka mwanya wa kuendelea kuhodhi uchumi wa Tanzania kwa kutumia Chadema. Ni kujidanganya kwa hali ya juu kufikilia kwamba Chadema itamcontrol Lowasa atakapokuwa raisi, unless hamumjui Lowasa na hamjui mamlaka ya rais.