Hii dunia kila unachofanya sasa ni free mason,hv Mungu kaacha ulimwengu utawaliwe na shetani namna hii..lol!!
-Ongeza jitihada za kufanya maombi/ibada na kumtukuza MWENYEZI MUNGU (Muumba wa mbingu na ardi na vyote vilivyomo) hakika yeye ni msikivu kwa waja wake.Pls God usiniache nikasambaratishwa pamoja na mafisadi maana nitakuwa nimeonewa sana!
Hebu rudia maandishi ya bluu kwa kingereza alafu kwa kiswahili tukupime kama wewe ni mtanzania inaonekana kweli wewe ni mwarabu. CDMA kazi mnayo kama hawa ndo mmewatuma kuja humu JF.Kundi la vijana waliomkamata na kumuua Ghadafi walishangilia kwa kunyosha vidole viwili juu kama alivyonyooshewa Wassira na vijana wa CDM Igunga.
![]()
Walichokuwa wanaongea ukitafsiri kwa kiswahili ni pipoooooz pawa. Yanki mwenye blue sharobaro ndia aliyemaliza ubishi...
Magamba mnapata somo gani hapo?
Hebu rudia maandishi ya bluu kwa kingereza alafu kwa kiswahili tukupime kama wewe ni mtanzania inaonekana kweli wewe ni mwarabu. CDMA kazi mnayo kama hawa ndo mmewatuma kuja humu JF.
Ndugu wana jamvi sina ugomvi na chama hiki cha siasa wala bendera yao ya chama. Bali naomba mwenye ufahamu wa kutosha juu ya alama zilizopo kwenye bendera anijuze vile vidole viwili vinamaanisha nini?
Vidole viwili ni alama ya ushindi, yaani V =VICTORY.