Nini maama ya vidole viwili (The 'V' sign)?

Nini maama ya vidole viwili (The 'V' sign)?

theory yako ni yakusadikika, kwahiyo hata kukonyeza au kuita kwa ishara ya kidole ni freemsons
 
Wanaotumia hii alama ni washamba na malimbukeni wakubwa tu.
 
na CHADEMA JE??? ISHARA YA VIDOLE VYAO NI NN??? MSININUKUU VIBAYA NAULIZA NIJUZWE!
 
Mwisho wa yote ni MUNGU aliyeumba mbingu na nchi bila hata kuweka nguzo. Tubabaikeni ktk hili na lile lkn mwisho wa yote ni MUNGU.
 
Sasa fafanua na alama ya Dole gumba ina maanisha nini.............Mimi nilikuwa nadhani alama ya vidole viwili ni ishara ya kuwa mlengo wa kushoto na mawazo wa mwenzako. Kwa maana kuwa mwenzako akionyesha kidole kimoja wewe unapinga kwa kuonyesha viwili kuwa hukubalini naye.
 
Jamani tuache kupoteza maana,umuhimu na uzuri wa jambo.Alama za freemasons zipo nyingi mno,hata kwenye pesa (noti na sarafu )nyingine zina alama za freemason,mwanzisha topic inawezekana ana nia njema ila namshauri ajaribu kufanya uchunguzi wa mambo zaidi kwamba asifanye alama ya V kuipunguzia nguvu Chadema.Ukifanya uchunguzi wa alama zote za freemasons utagundua kuwa dunia nzima inatumia alama za freemasons,cha msingi ni kujiuliza nia ya Chadema ni nini ktk hiyo alama.
 
na CHADEMA JE??? ISHARA YA VIDOLE VYAO NI NN??? MSININUKUU VIBAYA NAULIZA NIJUZWE!

Hao free mason ndio walioumba mikono ya watu mpaka kila ishara iwe mali yao?acheni ujinga anayeweza kusema hivyo ni MUNGU TU ndio mmiliki wa kila kitu,ieleweke hivyo.
 
Mwisho wa yote ni MUNGU aliyeumba mbingu na nchi bila hata kuweka nguzo. Tubabaikeni ktk hili na lile lkn mwisho wa yote ni MUNGU.

Yes ndio mwenye hizo alama kwa sababu ndio aliyetuumba,akiamua kutunyang'anya mikono yake mtasema alama za miguu ni za free mason?
 
Hao free mason ndio walioumba mikono ya watu mpaka kila ishara iwe mali yao?acheni ujinga anayeweza kusema hivyo ni MUNGU TU ndio mmiliki wa kila kitu,ieleweke hivyo.
Alama tulizoumbiwa na Mungu hazihesabiki.Kwa kifupi kila anayetumia V ni mjinga kama hana maelezo yenye kuridhisha.
 
I would like to say that ''URE A MINDWASHED...'' unazidi kuharibiwa na blogs zinazotaka kuuza matangazo na kupotosha jamii za dunia hii. V ina maani nyingi. Kuna V for 'victory' ya kumaanisha ushindi. Usiwahukumu watu kwa kuangalia alama za logos na vitu vingine, mhukumu mtu kwa kuangalia 'imani' yake. Hao uliowaonyesha wenye 'v' unamaanisha kuwa ni waovu. Tuwe tunaangalia na upande mwengine na sio kukubali tu kila kitu. Dnt judge the book by its cover.
 
Hapo sasa mkuu,...yaani hii ni ajenda fulani inayoibuliwa na watu wa tabaka fulani kwenye jamii ili kuwatisha na kuwatia hofu tabaka la chini ili wawatawale kirahisi.

kweli mkuu. Kinachofanyika sasa hivi ni taasisi za kishetani zinaanzisha webs na majarida ya kujidai wanafichua maovu kumbe wanatupotosha na kutufanya tuone kuwa dunia hii imeanza kutawaliwa na shetani. Wanatufanya tuone kuwa Mungu ameiacha dunia na kumwachia shetani atawale.
 
Kwa hiyo Mungu aliwaumbia hao free Masons peke yao hivyo vidole viwili? Watu wengine hawaruhusiwi kutumia ?
 
eeeh...mie nilikua na V-ni Alama Ya AMANI!!!!!!

Achan na magamba.......

peace-sign-coloring-pages-3.gif
 
Wanaotumia hii alama ni washamba na malimbukeni wakubwa tu.

wewe unayeamini hizi alama ndio limbukeni. Unafikiria kila kitu ni cha kishetani. Kwa mantiki hiyo....je una visa card? master card? SIM card? upo facebook? una window computer? Iphone? Ipad? Unafuga mbuzi? Una gari yoyote aina ya toyota? Mitsubish? Bmw? Volkswagen? Una kaspersky? Itune? Nero softwares? Blackberry? N.k. Kama kuna kitu unacho hapo basi kwa mantik yako na ww huna akili.
 
ukiitumia kwa kumaanisha hivyo ndio inafanya kazi kama sivyo nao ndio watawala wa dunia chadema ingekuwa imechukua nch siku nyingi nionavyo mimi havina uhusiano na vitu visivyomaanisha
 
Back
Top Bottom