Antony Nzalalila
Member
- Jul 12, 2018
- 7
- 6
Think big,Ikitokea limezima wazungu kwakuwa wana akili watatengeneza jua artificial au watajenga line ya umeme kutoka mtera au kidatu mpaka juani na kulipa energy
Think big,Ikitokea limezima wazungu kwakuwa wana akili watatengeneza jua artificial au watajenga line ya umeme kutoka mtera au kidatu mpaka juani na kulipa energy
Asante kwa kunipa somo zuri.Mkuu kasome tena...jua sio chanzo cha gravity.
Pia kulijibu swali lako angalia faida za jua baada ya hapo zitoe zoote uone tutakuwaje...
..Wewe ndio hujaelewa naposema huu uzi ni wa ku-provoke critical thinking! Kufikiri, sky is the limit, kutenda kuna mipaka. Msingi wa hoja yako ni kwamba kuna mipaka ya kufikiri, mimi nimekupinga. Suala la kuona kilicho nyuma, iliposemekana haiwezekani kuona kama udaivyo, WALIFIKIRI na kuja na njia za kuweza kuona nyuma in real time.Kaka jaribu kuelewa nilichokiandika,naposema huwezi kuona kilicho nyuma yako,hakuhitaji shule hapo ni kwamba hapo hapo ulipo kaa na ulipo elekea huwezi kuona kilcho nyuma yako.
Pili unajengea hoja juu ya movie huku ni kufikiri kimakosa. Nini asili ya movie ni maigizo kama maigizo mengine hupunguza katika ukweli na huongeza katika ukweli,kwahiyo hii si hoja dhidi ya kile nilicho kiandika.
Tuandike ukweli na uhalisia
Jua likizima sasa hivi paap.Habari zenu.
Mimi mi mpenzi sana wa mambo ya intelligence. Ni mgeni kidogo humu jf upande wa kuwa member. Jukwaa hili ndio limenishawishi niweze kuwa member kamili ili niweze shiriki vizuri jukwaani.
Hivi ktk ulimwengu wetu huu, jua kama ndio chanzo cha gravity, nishati nk, ikatokea limezima ghafla, ulimwengu utakuwaje? Haswa hapa ktk dunia yetu, ni nini kitatokea?
Asanteni.
Kila kinachoandikwa ktk hili jukwaa (intelligence) kipo mitandaoni, unafikiri kwa nini hili jukwaa bado limewekwa hapa licha ya kuwa watu wanaweza wakaenda jichotea maarifa kimya kimya?Mitandaoni kuna maarifa mengi sana....lakini bahati mbaya vijana wetu wanasoma ili kufaulu mitihani
Bwana Yesu asifiwe.1. Wanasayansi watalikarabati au watatengeneza jua lingine.
Hii ni kwa mujibu wa watu wasiotambua uumbaji wa Mungu mwenyezi.
Kwamujibu wa tunaemwamini Mungu,
2. Jua haliwezi kufa wala kuharibika maana Mungua alilitrngeneza lituletee mwanga kuotesha mimea nk, hadi siku ya mwisho wa dunia ambapo Mungu atuondoa duniani na kwenda kuishi naye kwake mbinguni.
Chagua jibu moja hapo juu.
Hii artificial sun ikiwashwa inacover umbali gani?Unaona kinachotokea North Pole kule ambapo miale ya jua haipafikii kwa sana basi iwapo jua litazima basi tegemea dunia nzima kuwa vile!. Kila kitu kitaganda na kwa kuwa Jua ndio chanzo cha uhai basi hakuna maisha yatakayo endelea kuwepo popote pale!.
Mwanga toka kwenye Jua kufika duniani unatumia dakika 8 na sekunde 19 ina maana kwa makadirio nayoona Jua likizimika ghafla ndani ya siku 3-5 Dunia itakua kimya yote!!..
Jua kuzima ghafla ni kitu kisichowezekana kabisa, Lakini labda likizimika tuwape moyo wachina watutengenezee copy ya Jua lao 😀🙂
View attachment 837457
Ingawa kwa maendeleo ya sayansi ya binadamu, wenzetu huko walishaweza kutengeneza kitu chenye mwanga (artificial sun) ingawa sio na nguvu kama Jua (ni kazi kulifikia joto lile ukasurvive lakini kina nguvu kuikaribia jua!).
View attachment 837460View attachment 837461
Scientists just switched on the world's largest 'artificial sun'
Asante.Ngumu kutokea
Sawa.Haitokei na haitakuja kutokea kwanza,
Na iwe hivyo milele na milele daimaBwana Yesu asifiwe.
Kaka bado hujaelewa mzee. Kupinga kwako kuwepo kwa mipaka ya kufikiri ni uchache wako wa elimu na maarifa...Wewe ndio hujaelewa naposema huu uzi ni wa ku-provoke critical thinking! Kufikiri, sky is the limit, kutenda kuna mipaka. Msingi wa hoja yako ni kwamba kuna mipaka ya kufikiri, mimi nimekupinga. Suala la kuona kilicho nyuma, iliposemekana haiwezekani kuona kama udaivyo, WALIFIKIRI na kuja na njia za kuweza kuona nyuma in real time.








ikiwa great thinker wapo hivi ngoja mi niendelee ku think greatNimeelewa, tatizo ni wewe kutaka nifikirie kama wewe KUWA KUNA MIPAKA YA KUFIKIRI. Hii haiwezekani, nitabaki na msimamo wangu kuwa hakuna mipaka. Cha msingi ni logics, ila nimekuelewa.Kaka bado hujaelewa mzee. Kupinga kwako kuwepo kwa mipaka ya kufikiri ni uchache wako wa elimu na maarifa.
Tukumbuke kuna chakula, ni mmea ule. Na mmea unahitaji mwanga wa Jua ili kujitengenezea chakula chake. Jua likitoweka mimea itashindwa katika ukuaji na itakufa, ikifa Hamna chakula.Kwangu jua likizima, kitacho tokea ni kiza na mwanga hafifu na baridi isiyo pungua