Sele Mkonje
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 643
- 846
Jibu lake nakuletea soon baada ya uchambuzi na utafiti wa muda mrefu 🤓
Ndio maana mwili haujawai kupoa toka ukiwa kijusi tumboni.Jua linahusika katika kuupa mwili wa human homo nishati ya kukontrol organ zake c kwa homo tu hata viumbe vingine,mfano hai ni chaji ndani ya betri betri ndani ya simu inawasha simu na kazi yaendelea jua sio mwanga tu kama mnavyotizama ni kiunganishu uhai.
Achana naye huyo.Nimeelewa, tatizo ni wewe kutaka nifikirie kama wewe KUWA KUNA MIPAKA YA KUFIKIRI. Hii haiwezekani, nitabaki na msimamo wangu kuwa hakuna mipaka. Cha msingi ni logics, ila nimekuelewa.
Habari zenu.
Mimi mi mpenzi sana wa mambo ya intelligence. Ni mgeni kidogo humu jf upande wa kuwa member. Jukwaa hili ndio limenishawishi niweze kuwa member kamili ili niweze shiriki vizuri jukwaani.
Hivi ktk ulimwengu wetu huu, jua kama ndio chanzo cha gravity, nishati nk, ikatokea limezima ghafla, ulimwengu utakuwaje? Haswa hapa ktk dunia yetu, ni nini kitatokea?
Asanteni.
Ha ha haaaIkitokea limezima wazungu kwakuwa wana akili watatengeneza jua artificial au watajenga line ya umeme kutoka mtera au kidatu mpaka juani na kulipa energy
jua sio chanzo ya gravity,wala nishati.jua ni sehemu ya universe na uwepo wake ni sehemu ya ulimwengu.Habari zenu.