Nini kitatokea endapo jua litazima/ litapotea?

Nini kitatokea endapo jua litazima/ litapotea?

Imagine miaka zaid ya milion nyuma kuna jiwe lilidondoka duniani kutoka outer space.lilitimka vumbi la hatari anga yote ya dunia ikakosa mwanga wa jua kwa miaka 20.hii ilipelekea dunia yote kuwa barafu.
 
Hakuna kufikiri beyond imagination,yaani ukifika huko lazima utakosea. Unajua kila kitu kina mipaka yake,hapa nataka nikupe mfano wa macho,mipaka ya macho iko ya sampuli mbili,mpaka wa kwanza ni kuto ona kile kisichodirikiwa na upeo wa macho yake,hapa pia kuna mifano kadha wa kadha,huwezi kuona kilicho nyuma yako wala kile kilcho zibwa na ukuta,na mpaka wa macho wa kujizuia kutazama vile usivyotakiwa kutazama. Hapa pia kuna mifano kadha wa kadha unaweza kuitafuta mifano hiyo na kuipata.

Hata akili ina mipaka yake,kuishughulisha akili au kuipa kazi akili kwa kile isichoweza kukidiriki ni kwenda kinyume ni uwezo wake yaani kukiuka mipaka yake.

Kama hujaelewa unaweza uliza swali.
Kuna muvi nyingi tu za beyond imagination zinazohusu space, hivyo point yako siikubali kwa asilimia kubwa. Suala la kuona kilicho nyuma yangu ni simpo sana, unageuka basi unakiona, na kama ni kisogo ndio maana watu wakaja na vioo au kamera! Vioo zaidi ya kimoja ktk angle tofauti naweza ona kilichopo nyuma yangu in real time. Unafikiri waliokuja na wazo la kwenda ktk space, mwezini na sasa wamarekani wanataka kufanya the impossible kupeleka kifaa karibu kabisa na jua, bila hizi imagination wangeweza?
Hata hivyo, hii thread ni kwa ajili ya ku-provoke ideas endapo itatokea sababu kazi ya jua tunaijua ingawa kiuhalisia inasemekana haiwezi tokea.
 
Habari zenu.
Mimi mi mpenzi sana wa mambo ya intelligence. Ni mgeni kidogo humu jf upande wa kuwa member. Jukwaa hili ndio limenishawishi niweze kuwa member kamili ili niweze shiriki vizuri jukwaani.

Hivi ktk ulimwengu wetu huu, jua kama ndio chanzo cha gravity, nishati nk, ikatokea limezima ghafla, ulimwengu utakuwaje? Haswa hapa ktk dunia yetu, ni nini kitatokea?

Asanteni.
Jua likizima au likitoweka dunia na sayari zengine zitaganda na kuwa barafu iliongumu zaidi ya chuma cha reli..no life.
 
Kuna muvi nyingi tu za beyond imagination zinazohusu space, hivyo point yako siikubali kwa asilimia kubwa. Suala la kuona kilicho nyuma yangu ni simpo sana, unageuka basi unakiona, na kama ni kisogo ndio maana watu wakaja na vioo au kamera! Vioo zaidi ya kimoja ktk angle tofauti naweza ona kilichopo nyuma yangu in real time. Unafikiri waliokuja na wazo la kwenda ktk space, mwezini na sasa wamarekani wanataka kufanya the impossible kupeleka kifaa karibu kabisa na jua, bila hizi imagination wangeweza?
Hata hivyo, hii thread ni kwa ajili ya ku-provoke ideas endapo itatokea sababu kazi ya jua tunaijua ingawa kiuhalisia inasemekana haiwezi tokea.
Kaka jaribu kuelewa nilichokiandika,naposema huwezi kuona kilicho nyuma yako,hakuhitaji shule hapo ni kwamba hapo hapo ulipo kaa na ulipo elekea huwezi kuona kilcho nyuma yako.

Pili unajengea hoja juu ya movie huku ni kufikiri kimakosa. Nini asili ya movie ni maigizo kama maigizo mengine hupunguza katika ukweli na huongeza katika ukweli,kwahiyo hii si hoja dhidi ya kile nilicho kiandika.

Tuandike ukweli na uhalisia
 
Kwanza likizima ghafla kutatokea baridi ambayo itaondoa uhai wa viumbe karibu vyote bali probability ni kubwa sana kubaki kwa bactreias (pia oxygen itapungua kwa kasi na kisababisha vifo kuwa 100%). hii ni kutokana na ukweli kuwa joto linalotokana na jua huzuiliwa kwenye anga la thermosphere ili kuweza kusawazisha hali ya hewa ambayo ni rafiki kwa viumbe hai pia si hapo tu pia mimea itakufa kwa kushindwa kujizalishia carbohydrates wakaati wa mchana kupitia mwanga wa jua (photsynthesis) pia dunia na sayari nyengine zitakosa usawa kutokana na kukosa sehemu ya kuzungukia hivyo zitafuata njia mnyooko hadi zitakapokutana na jua jengine au sayari yenye ukubwa ambao inaweza kuzufanya zizunguke.
 
Did You Know?

In the TOWN BARROW in Alaska the sunset on November 18 & rises January 23.
Between this period there is total darkness in BARROW Town for 67days.

Ndicho kitakachotokea mkuu..
 
maisha yataendelea vizuri kwa dakika 8 watu hawatajua chochote kama mwezi upo utaona unaanza kufifia ghafla unazima kisha giza zito litatokea anga likuwa jeusi tii
...baridi kali itaanza kutokea..
2.Baada ya hizo dkka 8 dunia itaacha kuzunguka hapo ndio utackia mzaramo akigonga kichina, kiaarabu...watu watataaruki na kukimbia kimbia lakini wakaofanya hivyo watakufa mapema zaidi mapafu yatafeli kwa hewa ya baridi.
3. siku chache tu mimea yote itakufa kwa kushindwa kufanya photosynthesis

nitarudia baadaye

Kuna Mahali nilisoma inachukua dk nane na nusu Mionzi ya jua kufikia Dunia....
Je ni dakika zile zile kufikia Mwezi?
 
Habari zenu.
Mimi mi mpenzi sana wa mambo ya intelligence. Ni mgeni kidogo humu jf upande wa kuwa member. Jukwaa hili ndio limenishawishi niweze kuwa member kamili ili niweze shiriki vizuri jukwaani.

Hivi ktk ulimwengu wetu huu, jua kama ndio chanzo cha gravity, nishati nk, ikatokea limezima ghafla, ulimwengu utakuwaje? Haswa hapa ktk dunia yetu, ni nini kitatokea?

Asanteni.
Mkuu kasome tena...jua sio chanzo cha gravity.
Pia kulijibu swali lako angalia faida za jua baada ya hapo zitoe zoote uone tutakuwaje...
 
1. Wanasayansi watalikarabati au watatengeneza jua lingine.
Hii ni kwa mujibu wa watu wasiotambua uumbaji wa Mungu mwenyezi.
Kwamujibu wa tunaemwamini Mungu,
2. Jua haliwezi kufa wala kuharibika maana Mungua alilitrngeneza lituletee mwanga kuotesha mimea nk, hadi siku ya mwisho wa dunia ambapo Mungu atuondoa duniani na kwenda kuishi naye kwake mbinguni.
Chagua jibu moja hapo juu.
 
Watu wote wataanza kufa baada ya masaa 168, hawatakuwa na nguvu ya kufanya chochote maana dawa inayotolewa na jua kwa binadamu ni mhimu sana.
 
jua likizama cha kwanza
1.Miti yote itakauka kwa kukosa energy ya kutengeneza chakula
2.Baridi litaongezeka na barafu sehemu yote ya dunia
3.Nguvu ya mvutano ya sumaku dunia itapotea na kusababisha balance ya dunia kupotea
3.Usiku utakuwa daima akuna mwanga
4.Binadamu tutakuwa zaifu kwa kukosa energy itokanayo na jua ni hayo tu ingawaje yapo mengi zaid na zaid
 
Unaona kinachotokea North Pole kule ambapo miale ya jua haipafikii kwa sana basi iwapo jua litazima basi tegemea dunia nzima kuwa vile!. Kila kitu kitaganda na kwa kuwa Jua ndio chanzo cha uhai basi hakuna maisha yatakayo endelea kuwepo popote pale!.
Mwanga toka kwenye Jua kufika duniani unatumia dakika 8 na sekunde 19 ina maana kwa makadirio nayoona Jua likizimika ghafla ndani ya siku 3-5 Dunia itakua kimya yote!!..
Jua kuzima ghafla ni kitu kisichowezekana kabisa, Lakini labda likizimika tuwape moyo wachina watutengenezee copy ya Jua lao 😀🙂
IMG_20180802_101351_189.jpg

Ingawa kwa maendeleo ya sayansi ya binadamu, wenzetu huko walishaweza kutengeneza kitu chenye mwanga (artificial sun) ingawa sio na nguvu kama Jua (ni kazi kulifikia joto lile ukasurvive lakini kina nguvu kuikaribia jua!).
artificial-sun-1.jpg
artificial-sun-2.jpg

Scientists just switched on the world's largest 'artificial sun'
 
According to scientific calculation mwishowe jua litapungua nguvu baada ya kumalizika energy yake na kuwa kitu wanachokiita RED DWARF .
Ikifika hali hiyo halitakuwa na joto kama la sasa na kupelekea hewa yote duniani kuganda na kuwa barafu na ndio itakuwa mwisho wa uhai duniani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom