Nini kipo nyuma ya misaada ya kukabiliana na COVID-19 anayoendelea kutoa Rostam Aziz?

Mwaka wa uchaguzi huu, yeye hataki hatakii kuua maalbino kama wafanyavyo wabunge wengine ila anawachezea akili watu kwa misaada yake.
 
Napata ukakasi na kasi ya utoaji misaada ya huyu TAJIRI, MFANYA BIASHARA NA MWANASIASA ROSTAM AZIZ

Anamwaga pesa mno. Na tunajua wazi MFANYABIASHARA huwa hapotezi pesa kizembe bila kutarajia RETURN.

Vitabu vinasema TAJIRI kuingia ufalme wa MBINGUNI ni sawa na NGAMIA kupenya kwenye tundu la sindano.

Na unaiona misaada mingi inapelekwa sehemu zisizo stahili ambazo kuwafikia walengwa ni nadra.

Ni sawa kutoa msaada wa mikate kwa wakazi wa Masaki Mwisho.

yaani kapeleka mashine ya kuspray dawa bungeni na waandishi juu. Yaani wabunge nao hawajiwezi. Mara mapesa kwa waziri Mkuu.

Alafu juzi kagawa tu-sabuni kwa wananchi.

NAJIULIZA, WHAT IS NEXT AFTER WHAT IS ROSTAM DOING NOW?

ALLAHU A'ALAM
Rostam aliadhirika pale alipojiuzulu ubunge Igunga, ukafanyika uchaguzi mdogo. Yaani hali ya kule ikajionesha wazi, umaskini uliokithiri. Ni kweli kabisa ukimfuatilia vizuri Rostam, kila senti anayotoa, imepigiwa hesabu kali
 
Napata ukakasi na kasi ya utoaji misaada ya huyu TAJIRI, MFANYA BIASHARA NA MWANASIASA ROSTAM AZIZ

Anamwaga pesa mno. Na tunajua wazi MFANYABIASHARA huwa hapotezi pesa kizembe bila kutarajia RETURN.

Vitabu vinasema TAJIRI kuingia ufalme wa MBINGUNI ni sawa na NGAMIA kupenya kwenye tundu la sindano.

Na unaiona misaada mingi inapelekwa sehemu zisizo stahili ambazo kuwafikia walengwa ni nadra.

Ni sawa kutoa msaada wa mikate kwa wakazi wa Masaki Mwisho.

yaani kapeleka mashine ya kuspray dawa bungeni na waandishi juu. Yaani wabunge nao hawajiwezi. Mara mapesa kwa waziri Mkuu.

Alafu juzi kagawa tu-sabuni kwa wananchi.

NAJIULIZA, WHAT IS NEXT AFTER WHAT IS ROSTAM DOING NOW?

ALLAHU A'ALAM
Sasa kama anatoa misaada hilo ndio cha msingi kuhusu hicho kilichona yake nadhani ni makalio na hiyo n kwa kila mtu nyuma yako kuna hivyo vitu
 
Inatafakarisha sana hii misaada. Ni bora wapokea misaada wakawa na tahadhari kubwa sana na hiyo misaada isije kuwa ni njia moja wapo ya kulipiza kisasi kwa aliyofanyiwa huko nyuma! Siwez kuthibitisha haya mawazo yangu lakini pia ni ngumu kuthibitisha iwapo hatumiki kama (Agent) wa kueneza huu ugonjwa kwa baadhi ya vigogo kwa njia ya misaada. Mungu anisamehe kwa haya mawazo yangu.
 
Ujamaa umefifisha sana akili zenu watanzania. Yaani mtu kuwa tajiri mnaona kama laana vile na Ndo mana wengi wetu maisha yetu ni ya umasikini wa kutupwa hadi kwenye janga la kidunia Corona serikali inahofia kuweka Total lockdown.

Dunia nzima matajiri wanajitolea kusaidia wananchi wao na serikali zao na huko hakuna hata nongwa. Hapa Rostam anajitolea badala mumshukuru ila still mnaendekeza roho zenu za chuki na uchawi.

Hii nchi sio ya matajiri bali ni ya wanyonge, au umesahau ule ujinga watu walikuwa wanaimbishwa kisha wanashangilia? Nadhani sasa umeona kwanini mahakama ya mafisadi ilikuga natural death. Baada ya ile mahakama kufa tulisema nchi hii hakuna vita vya ufisadi, bali mapambano ya matumizi neno fisadi.
 
Napata ukakasi na kasi ya utoaji misaada ya huyu TAJIRI, MFANYA BIASHARA NA MWANASIASA ROSTAM AZIZ

Anamwaga pesa mno. Na tunajua wazi MFANYABIASHARA huwa hapotezi pesa kizembe bila kutarajia RETURN.

Vitabu vinasema TAJIRI kuingia ufalme wa MBINGUNI ni sawa na NGAMIA kupenya kwenye tundu la sindano.

Na unaiona misaada mingi inapelekwa sehemu zisizo stahili ambazo kuwafikia walengwa ni nadra.

Ni sawa kutoa msaada wa mikate kwa wakazi wa Masaki Mwisho.

yaani kapeleka mashine ya kuspray dawa bungeni na waandishi juu. Yaani wabunge nao hawajiwezi. Mara mapesa kwa waziri Mkuu.

Alafu juzi kagawa tu-sabuni kwa wananchi.

NAJIULIZA, WHAT IS NEXT AFTER WHAT IS ROSTAM DOING NOW?

ALLAHU A'ALAM
Anataka kugombea kule juuuu ya edo
 
Wajua hii ndio tofauti kati ya wajasiriamali na watu wa kawaida. Kwenye matatizo mjasiriamali anaona fursa. Wengine tunaona hayo matatizo tu na kulalamika.

RA is definitely up to something. Hagawi bure asilani!
 
Jamaa ni extra genius
Huyu kiboko, wakati dunia ilikuwa na woga kuzungumza na Mkulu kuhusu ndugu zetu waliodakwa uhujumu/utakatishaji pesa, Yeye alitinga Magogoni akaibuka na dogo, wakati kina Kigwangwala sauti zimewakauka waki paza sauti za mayowe dogo akanyee debe. Ukiwa na mapesa na maarifa , utafanikiwa karibu kila kitu utakacho kitaka.
 
Back
Top Bottom