Nini kipo nyuma ya Channel Ten na matamko ya BAVICHA?

Msanii

Platinum Member
Jul 4, 2007
8,853
2,000
Kama Mandela alivyokuwa na kesi ya ugaidi. Hivyo ugaidi wa Mbowe tunajua ni kutokana na kuisumbua ccm, hivyo mama wa kambo ametumia mbinu za kizamani kumbambikia kesi.

Ni kweli nina roho mbaya, ila haikuti ya yule dhalimu aliyeko motoni hivi sasa.
Chacha Wangwe alitaka kugombea uenyekiti na mnajua kilichompata.

Endeleeni kujikaza kisabuni. Yowe la kwanza litapasua ngoma ya sikio
 
Hamatan

JF-Expert Member
Nov 10, 2020
1,931
2,000
Ni vizuri kuwazoesha watoto kuwa wakweli wangali wadogo. Chaneli zinazotoa habari za uwongo kama channel 10 au TBC, ni vizuri kumwelewesha mtoto kwa upole kuwa hazifai kuzitizama kwa sababu habari zao nyingi ni za uwongo na propaganda.

Tukitaka kulijenga Taifa lenye maadili ni vema kuwazuia watoto kuangalia vitu ambavyo havina maadili ya ukweli.
 
Tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
42,637
2,000
Chacha Wangwe alitaka kugombea uenyekiti na mnajua kilichompata.

Endeleeni kujikaza kisabuni. Yowe la kwanza litapasua ngoma ya sikio

Kesi ya Chacha Wangwe iliiendeshwa kwenye mahakama za ccm, ungepeleka ushahidi. Na isitoshe sasa hivi mtoto wake ni mtu mzima na yuko cdm. Mfuateni mkampe huo ushahidi ili afungue kesi. Una lingine kwa msaada zaidi?
 
Magobe T

JF-Expert Member
Mar 19, 2008
4,033
2,000
Sio utamaduni wa chombo cha utangazaji cha Chanel Ten kutangaza habari za vyama vya upinzani nchini.

Tangu wiki lililopita wamekuwa wakitangaza taarifa za Chadema wakidai wao ni wanachama wa chadema bile kujitaja wadhifa wao kichama.

Pia najiuliza juhudi ya channel Ten kuwa mstari wa mbele kuuhabarisha umma kwa kipindi hiki ambacho chadema wapo na agenda ya KATIBA MPYA.

BAVICHA TAIFA jitokezeni kutoa mwongozo wakupinga harakati za katiba mpya kuliko kila mwanachama kuwa mtazamo wake kwa kujificha kwa mavazi ya chadema huku ujumbe wao mdimoni nitofauti na vazi.
Ndipo tulipofikia hapo. Kuna msemo kwamba 'nyoka huuma afikiapo'.
 
Tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
42,637
2,000
Ni vizuri kuwazoesha watoto kuwa wakweli wangali wadogo. Chaneli zinazotoa habari za uwongo kama channel 10 au TBC, ni vizuri kumwelewesha mtoto kwa upole kuwa hazifai kuzitizama kwa sababu habari zao nyingi ni za uwongo na propaganda.

Tukitaka kulijenga Taifa lenye maadili ni vema kuwazuia watoto kuangalia vitu ambavyo havina maadili ya ukweli.

Familia yangu nilishawapa maelezo na wamenielewa sana, hakuna anayetazama hizo channel maana nimewaambia habari zote humo ni za uongo.
 
Paf

JF-Expert Member
May 25, 2021
1,715
2,000
Familia yangu nilishawapa maelezo na wamenielewa sana, hakuna anayetazama hizo channel maana nimewaambia habari zote humo ni za uongo.
Haaaa Mseveni damudamu na TBC.
Na M7 mwongo?
 
Wakabambee58

Member
Aug 14, 2020
32
95
Chukua mkanda wa suruali mtandike huyo mtoto mpaka ukatike. Anataka kuleta laana ndani ya nyumba.
Mzee wangu(Rip) miaka ya huko kweusi alinipiga mno, kisa alikuta nimefungua RTD wakati ambao ni marufuku maduka kuuza bidhaa muhimu tendo lilopelekea yeye kufilisika.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom