Nini kinawarudisha kwa MaX

Nini kinawarudisha kwa MaX

Eehee Bwana niepushie kikombe hiki.... Maana my heart is willing but my body is weak... Amen.. Binafsi I think ni tamaa ya mwili na kukosa misimamo... Thanks..
Sawa mkuu.. Bwana amesikia ombi lako.
 
Murete;
Naona unatukana wengi. Kiporo si matapishi bro. Kila mlo una ladha yake, huwa narudi nyuma kujikumbushia tu na zaidi inakuwa tamu ka naye keshajipatia wake. Nyama ya wizi taaam sana tuu mkuu
Sio matusi chief... Kiporo noma. Saa ingine kinakuwa kishatengeneza fungus we unapasha tu bila kuona unakula mwishowe kunakuletea balaa. Kwanini usipike msosi mpya tuu?
 
Mureteeeeee jina lako tu linaonesha umeshawah kurudi kwa X wako
 
chovya chovya hizi ndo yanasababisha yote haya. Tungekuwa sio wachovyaji kabla ya ndoa matatizo ya michepuko wala isingekuwepo.
Wengi ni tamaa, wengine wanakuja kugundua kuwa waliotegemea kuyakuta kwenye ndoa siyo, visirani vya mmoja kati ya wanandoa n.k.
 
Kwani hujawahi kunywa supu ya kuku kama mwezi hivi halafu ukakinai ukaanza kunywa kongoro then baada ya kama wiki mbili hivi ukasikia hamu tena ya kurudia supu ya kuku? Well inakuwaga kama hivyo....
 
Habari zenu wapendwa wa MMU.

Kuna swala linanitatiza kuhusu kurudiana na X. Hii ni kwa wote

Hivii, inakuwaje mtu unamuacha mpenzi wako unaoa/olewa mtu mwingine halafu eti baada ya muda unarudi kwa X kuomba game. Huwa hamjisikii hata vibaya? Nini kinawasukuma kurudi mlipoacha? Na tena mkirudi mna story za kuhuzunisha kweli. Yaani ni majuto fulu! Ni kipi kinakushinda kuanza upya uhusiano na mtu mwingine mpaka urudi kwa X?
Max au ma ex? Ma-X?
Kurudiana na X? Mimi narudiana na Y
 
Unajua koloni hujua liliacha raw material gani ambazo kwingine haliwezi pata lazima liombe lije lichimbe kwa muda
 
Kwani hujawahi kunywa supu ya kuku kama mwezi hivi halafu ukakinai ukaanza kunywa kongoro then baada ya kama wiki mbili hivi ukasikia hamu tena ya kurudia supu ya kuku? Well inakuwaga kama hivyo....
Hahahahaaa
 
Back
Top Bottom