Lol! Kwanini usifanye kujua shoo ni vepee huko ugenini kabla hujatimka mazima?kuna show nyengine zinakuwaga one of the kind,show za kibabe hatari.yaan kila ukizifikiria unadata.alaf unakuta yule mpya ulie naye sasa hana ishu,gogo si gogo.
ndugu usiombe tu ukutane na haya.binadamu wabaya sana.unaweza kukuta mwanzo alikuwa na mashamsham hatari,mauno feni,nyonga ya dondola lakini mkishaingia kwenye long term relationship ama ndoa basi lile tendo linakuwa kama jukumu tena na sio starehe.ile ashki,utundu,mshawasha furaha na utamu wa tendo unapotea taratibu mpaka unaisha kabisa hapo sasa ndo watu wanaanza kutoa vichwa dirishani kuangalia kama wanaweza pata ahueni huko njeLol! Kwanini usifanye kujua shoo ni vepee huko ugenini kabla hujatimka mazima?
Inawezekana kurudi kwa xMkuu mpenzi wako karudi kwa X wake nini??
Anazo sana tu,hujabahatika kukutana nazoila wee mama always huna point jf
mie haiwezekaniInawezekana kurudi kwa x
hahaha,umenikumbusha huu uzi mweeh,humu Jf ni hatari.Nakuja kumuona mtoto lakini nitalala hapo.
swissme
Mweeeeeh karibu JFKuna demu aliniacha kwa dharau enzi hizo baada ya kupata jamaa aliyemwambia atamuoa, kweli aliolewa ila baadaye akaanza kunitafuta..ooh! nataka nije nikutembelee..kisa..nimekukumbuka tu, nikamwambia njoo si unapajua.. ikabidi nimle tu huku akiomba samahani kibao..wala sikumuulizia jamaa yake.. inanihusu nini
Halafu wewee..Mweeeeeh karibu JF