Nini kinawarudisha kwa MaX

Nini kinawarudisha kwa MaX

Awali ni awali hakuna awali mbovu na isitoshe wapenzi hawaachani,wanatengana kwa muda tu,ndio kisa hata mafundisho yanakataza uzinifu kabla ya ndoa!!
 
kurud kwa x wako, inategemea mlitemana kwa style gan, alaf choice nyngne unakuta ni real hvo ungatuke utajikuta kuna vitu unavi_miss itakubid urud tu, kama haikuumiz ukiifkria
 
Back
Top Bottom