Nini kinatokea Tanzania?

Nini kinatokea Tanzania?

Watu tunamabando ya kukomenti na kulalamika asubuhiasubuhi muda wa kuwa ofisini na kibaruani kweli we are in the right traki.
 
Nimeshangaa kwa dumu la mafuta ya Kula 59--61 elfu. Nilidhani zile juhudi za enzi za sakata la mafuta zilisaidia.
Maana kabla ya sakata lile ilikuwa 51+53 elfu. Wakuu wetu mtutumikie ili mtupumzushe mnapowapumzisha hao wanasi-hasa na sisi wananzengo huku tusisahaulike.

Mkuu kuna uzi wako unaelezea soko la Mabibo, nilitaka kukujibu kule lakini nakuomba nikujibu hapa..

Akili kubwa sana inahitajika Tanzania kuweka mambo sawa ili kila kitu kiende.
 
Watu tunamabando ya kukomenti na kulalamika asubuhiasubuhi muda wa kuwa ofisini na kibaruani kweli we are in the right traki.
Tatzo ni kuamini kila asubuh ni muda wa kuwa ofisini,sometimes tunajitoaga ufikiri cjui[emoji848][emoji848]
 
Wao wansema Tutembee vifua mbele sasa sijui zamani tulikua tunatembea vifua nyuma
 
Mkuu kuna uzi wako unaelezea soko la Mabibo, nilitaka kukujibu kule lakini nakuomba nikujibu hapa..

Akili kubwa sana inahitajika Tanzania kuweka mambo sawa ili kila kitu kiende.
CVs za wateule ni PhDs za kutosha...
[emoji1] [emoji1] [emoji3] [emoji3] [emoji3] celewiii...??!!!
 
Eti bwana yeye haoni wabunge kutwa wanaunga mkono, mimi nilikuwa sijawahi kupata mtoto wa kiume nimempata awamu hii, rais kafanya jitihada katuletea mpaka kupatwa kwa mwezi watu hawaoni, nimelima mbaazi nikapeleka sokon nikakuta kilo 300/-, nimeamua kuzila tu( rais anatupenda wanyonge ameshusha bei ili tule wenyewe tupate protin) eti watu hawaoni tu
Hehehe
 
Basi mie sina neno Tena View attachment 836964
Screenshot_2018-08-15-16-44-21.jpg
Screenshot_2018-08-15-16-38-30.jpg
 
Back
Top Bottom