Kapepo
JF-Expert Member
- Aug 14, 2015
- 1,063
- 1,188
Habari wakuu,
Ipo hivi tangu nipo nasoma shule Sekondary hadi namaliza chuo hadi ivi sasa nipo mtaani ninapotaka kusoma kwa ajili ya maandalizi either ya interview au issue nyingine yenye kuleta maendeleo najikuta naingiwa na uchovu wa kutisha hadi naamua kulala kupunguza uchovu huu lakini sasa sijui nini chanzo hadi hii leo.
Swali je nini kinasababisha kupatwa na uchovu sana pindi tu napotaka kujisomea?