Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 23,033
- 33,020
Anaandika Upete
Kiwanja Milioni 50 Square Meter 400 ✍️
Mwenye Kiwanja anataka Milioni 40. Dalali anaongeza Milioni 10 ✍️
Kule kwenye UTALII nako wameingia Madalali😳🙌
Tuandae mpango kazi mzuri haraka wajameni…! Miaka minne ijayo Ardhi hatutagusa bei kwa mwendo huo✅
Sio mbaya tukaangalia na Position ya DALALI na mastahiki yake…! REAL ESTATE na UTALII ni kama tunavisahau hivii…!
Nafikiri Farhan M Kihamu ameeleza vyema tu na watunga sera sio mbaya mkasaidia kunusuru hii✍️
MR PERFUME