Kwanza hiyo miaka kumi ishirini bado ni mumeo? YAni hujadai talaka tu? Kama ana watoto basi watoto wake shurti wamuudumie baba yao. Lol. Mimi undugu uliisha.
lakini ingekuwa ni mwanamke mngejadili hivi jamani?yani mi nikapurushwe maji hukooooooo miaka ka m5 hiv halafu nirudi unanipokea?nauliza utaweza kweli ?moyo umeumbwa kwa nyama Kongosho
sitamtupa lakini nitamtandika viboko vingi kwanzaila ni ngumu jamani!
sitamtupa lakini nitamtandika viboko vingi kwanza
Natamani ningeweza kukuambia vinginevyo
Mie nimekupa uzoefu wangu, wala hushikiwi bunduki lakini unampokea
Najua angekuwa mwanamke ingekuwa habari nyingine
Labda vizazi vijavyo vitaweza kufurahia kumtaa mwanamme aliyetelekeza familia
Ila kwa sasa ndio kinachotokea mara nyingi.
Kuna mmoja tu niliyeona kamkataa mmewe
Ila huyu alichofanya ni aliweza jenga nyumba na waotot wake baada ya kupata mafao ya kazini
Nyumba aloishi na mmewe ilikuwa ya shirika
Mme alipofulia akarudi, tena ilikuwa kama miaka 3-5, walimfukuza kama mbwa
Ila mie niliona ilikuwa muda mfupi sana, familia ilikuwa bado kwenye 'donda; kubwa
bado wanaugulia kuachwa, na mbaya zaidi walikuwa na hasira na mama kugundulika HIV+
Na ilikuwa wazi baba ndio kaleta maana alianza choka muda kidogo na mmoja wa nyumba ndogo yake alifariki
Hivi unadhani saa hizo huwa wana la kusema??
Hata uimwambie kulala kwenye banda la kuku anakubali
Kama itakufanya moyo wako umkubali, basi mtandike tu
Ndio nakupa uzoefu huo
Mamndenyi, hebu njoo huku
Kongisho umeongea point za msingi sana, i see ni ngumu kumeza, kuna wanawake majasiri sana..... Kabla ya haya nilikuwa nawaza hivi hawa wanawake wazima kweli?
Ila pamoja na yote kuna mmoja simuelewi mumewe anarudi kwake akiwa mgonjwa tu, akipona yupo nyumba ndogo, kama ndo kustiri kweli wanawake Mungu amewajalia ujasiri wa ajabu na vifua vinavyohimili mengi, ndo maana akapewa baraka za kubeba mimba na kukea mtoto....
Ndio nakupa uzoefu huo
Mamndenyi, hebu njoo huku
Mmmh, kuna mfano nikukuopa utanimaliza hata nguvu za kufanya kazi
Ila kuna wanamme akili zao wanazijua wao tu
Kuna mambo BT, yakikupata ndio unagundua wwe ni jasiri wa kiasi gani
Unajikuta umepata nguvu za kuvumilia tu.
Kwa tunaoamini tunasema ni 'kwa neema ya Mungu tu, kwa akili za kibinadamu ni ngumu sana'
Kongosho,
umehangaika na watoto zaidi ya miaka 12,
umeona rangi zote za maisha,
mwaka wa 12 jamaa anarudi (anakuja kwako hii ni kwa kuwa hata house ulimwachia hata mifugo na kila kitu ulikiacha) na bonge la kisukari na maradhi yote yamejimix humo humo,
mimi nasema hivi SIMPOKEI
Tena mimi ni mzee wa Kanisa ila simpokei.
ni kweli kabisa,kwa akili za kibinadamu ni ngumu mno,ila kwa uwezo wa mungu unaweza.kuna mwimbo unaitwa NI KWA NEEMA TU wa edson unapigwa sana praise power radio,hauhsu ndoa,ila unasisitiza ni kwa neema tu na rehema,na jinsi mtu anaposhangaa ni jinsi gani amemudu kufanya mambo fulani,na mabadiliko aliyonayo,wema wake n.k na ambavyo hakutegemea kufanya hayo anayofanya.ni mzuri,ukisikiliza kwa sisi wenye kuamini unapata ujumbe wa kwamba yale usoweza kufanya kibinadamu,kwa neema na rehema ya mungu unaweza!
Ndio maana nilisema, kama mwanamke yuko bado kwenye maumivu hajapona inakuwa ngumu
Lakini, maumivu yanakaa kwa miaka 12? Kumbuka ukipona donda mla kihisia ndio unaweza kusamehe, na ukiweza kusamehe ndio unaweza kumpokea
Kuwa mzee wa kanisa na kusamehe ni vitu viwili tofauti
Kuna mfano nimetoa mama alishindwa mpokea mmewe aliyemwambukiza HIV na akarudi home within 3years, alimfukuza
Ila kwa uzoefu wangu, zaidi ya miaka 10, unasamehe tu na anaishi na kula, kwanza watoto walishakua wanauwezo wa kujitegemea.
Umeongea 'volume' hapa.
:tape2:
Mmmh, kuna mfano nikukuopa utanimaliza hata nguvu za kufanya kazi
Ila kuna wanamme akili zao wanazijua wao tu
Kuna mambo BT, yakikupata ndio unagundua wwe ni jasiri wa kiasi gani
Unajikuta umepata nguvu za kuvumilia tu.
Kwa tunaoamini tunasema ni 'kwa neema ya Mungu tu, kwa akili za kibinadamu ni ngumu sana'