Bishanga kweli umeshindwa kumwekea ndugu yako wa damu nitonye mdhamana kwa PAW?.. Siamini!
Nakerwa na namba 4 mnoo!
Ningekuwa nazijua hati mkato ningekukomesha leo hadi upate miscarriage ya mimba ya nitonye. Hivi mke mwenza Cookie anajua yanayoendelea?
Marhaba mtoto mzuri, mrembo, miss, model wa jf.
michyuu mkwe
Mrs u too mkwe. Angalia katavi huyo atakuhonga simba, ohoo!
marhaba bebiii
usihofu mkwe, katavi hana gari. Si unajua siku hizi hapendwi mtu linapendwa gari.
Kwani bishanga ameshastaafu kazi corrona funeral home? Si anaendesha ile benzi ndefu inapambwaga maua ya zambarau! Unaniingiza mjini eeh!
mmmh! Delete kabla katavi wangu hajaona.
umeona eh? TF sijui kaishia wapi jamani ,aje ajionee maasi.