Abigail2011
JF-Expert Member
- Feb 15, 2012
- 514
- 213
Ungepiga picha tuone hayo mabatiWadau habarini za mchana,
Ebwana nipo mitaa ya Posta mpya karibu na huu mnara wa askari aliyeshikilia SMG tayari kwa mapambano ukizungushiwa uzio wa mabati, sasa sielewi ni nini maana yake, embu tu juzane kwa mnao fahamu hili jamani. Sio vibaya tukijua kinacho endelea wakuu.
Na wakilisha.
Dogo unanikumbusha afande mkisi ulimaliza mwaka gani pale Mimi nilikuwa kiranja wa michezoWanajeshi Mungu anawaona.....akiwa Mkuu wa Jitegemee Secondary,Afande Mkisi tulimuomba sisi wanafunzi wa form one na two tuvae suruale....jibu lake ataturuhusu siku yule askari pale samora akivaa suruale
Wadau habarini za mchana,
Ebwana nipo mitaa ya Posta mpya karibu na huu mnara wa askari aliyeshikilia SMG tayari kwa mapambano ukizungushiwa uzio wa mabati, sasa sielewi ni nini maana yake, embu tu juzane kwa mnao fahamu hili jamani. Sio vibaya tukijua kinacho endelea wakuu.
Na wakilisha.
Pengine wamesikia tetesi za wizi kupitia interegenziaHiyo mkuu.
Hiyo mkuu.
Niliota kama vile Patatengenezwa upya na kuwekwa mnara wa kijeshi zaidi kuonesha nidhamu ya kijeshi zaidi.Wadau habarini za mchana,
Ebwana nipo mitaa ya Posta mpya karibu na huu mnara wa askari aliyeshikilia SMG tayari kwa mapambano ukizungushiwa uzio wa mabati, sasa sielewi ni nini maana yake, embu tu juzane kwa mnao fahamu hili jamani. Sio vibaya tukijua kinacho endelea wakuu.
Na wakilisha.
Saa hz wanavaa mkuu...Wanajeshi Mungu anawaona.....akiwa Mkuu wa Jitegemee Secondary,Afande Mkisi tulimuomba sisi wanafunzi wa form one na two tuvae suruale....jibu lake ataturuhusu siku yule askari pale samora akivaa suruale
Ameula...kawa full KANAL na ni mkuu wa wilaya.Dogo unanikumbusha afande mkisi ulimaliza mwaka gani pale Mimi nilikuwa kiranja wa michezo