Nini kinafanywa kwenye mnara wa askari Dar?

Abigail2011

JF-Expert Member
Feb 15, 2012
514
213
Wadau habarini za mchana,

Ebwana nipo mitaa ya Posta mpya karibu na huu mnara wa askari aliyeshikilia SMG tayari kwa mapambano ukizungushiwa uzio wa mabati, sasa sielewi ni nini maana yake, embu tu juzane kwa mnao fahamu hili jamani. Sio vibaya tukijua kinacho endelea wakuu.

Na wakilisha.

1481199436768-jpg.443869
 
Watakua wanafanya maboresho tu mkuu...subiri kuiona taswira mpya na nzuri zaid ktk eneo hilo baada ya muda
 
Wadau habarini za mchana,

Ebwana nipo mitaa ya Posta mpya karibu na huu mnara wa askari aliyeshikilia SMG tayari kwa mapambano ukizungushiwa uzio wa mabati, sasa sielewi ni nini maana yake, embu tu juzane kwa mnao fahamu hili jamani. Sio vibaya tukijua kinacho endelea wakuu.

Na wakilisha.
Ungepiga picha tuone hayo mabati
 
Wanajeshi Mungu anawaona.....akiwa Mkuu wa Jitegemee Secondary,Afande Mkisi tulimuomba sisi wanafunzi wa form one na two tuvae suruale....jibu lake ataturuhusu siku yule askari pale samora akivaa suruale
 
Nami nimeona pamoja na pale kwenye kituo cha mafuta cha gapco wamezungushia bati
 
Wadau habarini za mchana,

Ebwana nipo mitaa ya Posta mpya karibu na huu mnara wa askari aliyeshikilia SMG tayari kwa mapambano ukizungushiwa uzio wa mabati, sasa sielewi ni nini maana yake, embu tu juzane kwa mnao fahamu hili jamani. Sio vibaya tukijua kinacho endelea wakuu.

Na wakilisha.

Hiyo mkuu.
 
Attachments

  • 1481199436768.jpg
    1481199436768.jpg
    93.7 KB · Views: 330
Wadau habarini za mchana,

Ebwana nipo mitaa ya Posta mpya karibu na huu mnara wa askari aliyeshikilia SMG tayari kwa mapambano ukizungushiwa uzio wa mabati, sasa sielewi ni nini maana yake, embu tu juzane kwa mnao fahamu hili jamani. Sio vibaya tukijua kinacho endelea wakuu.

Na wakilisha.
Niliota kama vile Patatengenezwa upya na kuwekwa mnara wa kijeshi zaidi kuonesha nidhamu ya kijeshi zaidi.
 
Wanajeshi Mungu anawaona.....akiwa Mkuu wa Jitegemee Secondary,Afande Mkisi tulimuomba sisi wanafunzi wa form one na two tuvae suruale....jibu lake ataturuhusu siku yule askari pale samora akivaa suruale
Saa hz wanavaa mkuu...
 
Ila wasije wakamtoa huyo jamaa maana sisi wengine tukitoka huku Bungu tukifika mjini huyo jamaa anakuwa Alama kubwa sana huwezi kupotea kufika ofisi ya mjomba

Wadau habarini za mchana,

Ebwana nipo mitaa ya Posta mpya karibu na huu mnara wa askari aliyeshikilia SMG tayari kwa mapambano ukizungushiwa uzio wa mabati, sasa sielewi ni nini maana yake, embu tu juzane kwa mnao fahamu hili jamani. Sio vibaya tukijua kinacho endelea wakuu.

Na wakilisha.

1481199436768-jpg.443869
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom