ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,279
- 7,685
- Thread starter
- #81
Labda nikuulize wewe mbona mataifa yanayoiunga mkono Palestina ni mengi kuliko yanayounga mkono Israel
Huoni kama kuna hujuma zinafanyika ili kumsaidia Muisrael?
Sidhani kama kuna data rasmi za mataifa yanayoiunga mkono nchi fulani katika huo mgogoro, hata hivyo unadhani kwa nini hawajapeleka kesi mahakamani?