Nini kinaendelea kati ya spika na John Mnyika?

Nini kinaendelea kati ya spika na John Mnyika?

Anza kufungasha mapema uhame kwani ni dhahiri Mnyika anarudi - tena kwa kishindo!
 
Muacheni Mnyika apambane anajua watu wote wanamuangalia kwenye tv, ubungo maji hamna lazima atafute cha kuongea kwenye kampeni.

Yaani ww unaamini tatizo la maji ubungo mbunge anaweza kulimaliza?Mbunge hana bajeti ya kufanya miradi majimboni,ata mfuko wa jimbo bado mbunge kama yeye awezi kuzitumia pesa kama anavyotaka,Tanzania kuna maeneo yana matatizo ya maji zaidi ya ubungo na tena yanatawaliwa na wabunge wa CCM,Kazi anayofanya Mnyika ni kwa ajili ya Taifa letu big up JJ Mnyika
 
Mnyika akirudi hapa ubungo nahama nchi,huyu jamaa ni kichwa Nazi hajafanya lolote hapa jimboni ni kelele tu bungeni

kwani ubunge wa ubungo ni wa baba yako? isitoshe 2010 hukupiga kura wewe, hayo maneno yako kawaambie viraza wenzio wasiotafakari.
 
Mnyika akirudi hapa ubungo nahama nchi,huyu jamaa ni kichwa Nazi hajafanya lolote hapa jimboni ni kelele tu bungeni

inawezekana wewe ni mmoja wa wale wasio jua kazi ya mbunge.. pole sana

Mnyika akirudi hapa ubungo nahama nchi,huyu jamaa ni kichwa Nazi hajafanya lolote hapa jimboni ni kelele tu bungeni

Una tope sio akili wewe. Wenye akili watakaaa hapo jimboni. Huyu ni mzalendo kwa Taifa sio Ubungo tu
 
Kipindi kile wanaelewana sana mpaka Anne alipokuwa anamlalamikia kwa kusema

"Hivi mnyika mbona ni mkorofi hivi nimekukosea nini Mimi, nikupe nini utulie. Mbowe nisaidieni jamani"

Silivuma habari kwamba wanamahusiano.

Sasa kama sikuhizi wanagombana labda wametengana.

Duh watu munajua kupakuwa maneno okey ngoja tusubiri
 
Eti Mnyika hajafanya chochote Ubungo. Duh! Kwani wale waliokaa miaka 45 kabla ya Mnyika walifanya mini? Na kwanini mliwaondoa?
 
Kipindi kile wanaelewana sana mpaka Anne alipokuwa anamlalamikia kwa kusema

"Hivi mnyika mbona ni mkorofi hivi nimekukosea nini Mimi, nikupe nini utulie. Mbowe nisaidieni jamani"

Silivuma habari kwamba wanamahusiano.

Sasa kama sikuhizi wanagombana labda wametengana.

Hizi habari pengine zilivumishwa na Bavicha na ziliianzia ufipa..
 
mnyika lazima ushinde teena maana hamna namna sasa
 
Mnyika akirudi hapa ubungo nahama nchi,huyu jamaa ni kichwa Nazi hajafanya lolote hapa jimboni ni kelele tu bungeni
sisi wa Ubungo tunamtaka Mnyika, tnajua shida tulizzonazo zinatokana na CCM, sasa wewe wa Mbagala, Mnyika anakuhusu nini? Au umetumwa? Na utahama sana inji hii.
 
Eti Mnyika hajafanya chochote Ubungo. Duh! Kwani wale waliokaa miaka 45 kabla ya Mnyika walifanya mini? Na kwanini mliwaondoa?

Kwani tulimchagua afanye developent au ajilinganishe na waliopita????? Think big
 
Mnyika akirudi hapa ubungo nahama nchi,huyu jamaa ni kichwa Nazi hajafanya lolote hapa jimboni ni kelele tu bungeni

We nawe hivi JMnyika anakusanya kodi kumbe ndio maana maeneo msiojitambua mnadanganya kuwa mbunge anawaletea maendeleo.mabunge kazi yake ni kusimamia na kuishauri wanaposhauriwa wabunge wa zamani wamebaki na kauli mbiu yao ya ndiooooooooo ndio maana kwenye wapinzani serikali haipeleki maendeleo na kuwadanganya wananchi kuwa tatizo ni mbunge je huko waliko waunge wa kizamani kukoje ***** wacheni mbembwe ili jambo litokee lazima pawe na jambo
 
Kama kawaida yake anatafuta umaarufu kuelekea oktoba , hana jipya.

Unadhalilisha ukoo wa watu na kushusha heshima ya mtu aliekufa akiwa shujaa wa ulimwengu huu, hebu mwambie msalani akutafutie user name.
 
Speaker aliomba kuliwa mzigo na dogo.dogo kachomoa visa vinaendelea.huyu mama atarudi viti maalum sio sanduku la kura.
 
acheni roho za kwanini nyie wana ubungo...mulitaka afanye nini sasa...kwani mumekosa nini?...halafu hayo anayoyaongelea bungeni kuhusu taifa letu sote nyie hayawahusu?....mungu anawanyeshea mvua wema na waovu...kwahiyo wewe unataka mungu awanyeshee mvua nyie wema tuu sie waovu ahaha....tunamtaka mnyika bungeni kwa manufaa ya tanzania nzima kuliko nyie watu wa ubungo peke yenu.

tafadhali badilikeni musitutie aibu watanzania wenzenu.

Kweli. Mnyika ni MBUNGE wa Taifa LOOOOTE! Ni kwa sababu kachaguliwa kwa KURA nyingi kuliko Wabunge woooooote wakiwamo makinda na Mizengo! Anawawakilisha Singida MJINI na MONDULI ambako Wabunge wake ni "MABUBU".
 
Mnyika akirudi hapa ubungo nahama nchi,huyu jamaa ni kichwa Nazi hajafanya lolote hapa jimboni ni kelele tu bungeni

Hivi anakushanya kodi mnyika? unaijua ubungo ya chaz ilivyokuwa, au mihemko ndio inatumika kuandika.
 
Back
Top Bottom