Nini Kinaendelea Hapa?

Nini Kinaendelea Hapa?

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2007
Posts
23,263
Reaction score
17,140
chole-low-16.jpg
 
Nikubalie basi jamani...

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Nyooo hana hata haya...umkomaze mtoto wa mwenzio ili iweje
 

Safari picha zako zote huwa ni ZAU CHOKOZI:teeth:Jamaa kwenye baiskeli hadi shingo kakunja...Mdada kombe/bohora la kuchotea maji (sina uhakika kama siyo muuza KIMPUMU hivyo yaweza kuwa KIPIMIA Mapuya) kaamua kuking'ata kabisaaa......KWA MTAZAMO WANGU HII NI KUFYAGIA NJIA KWA AJILI YA MAPENZI TUUU
 
lazima akubali, ukizingatia anachombo cha moto...
 
Anamweleza kaka yake juu ya hali ya hsamba alivyoikuta...mvua zimenyesha nyimngi kiasi kwamba kuna baadhi ya mazo yameharibika
 
Kwani kuna tatizo gani wapendwa msitawaliwe na kuongozwa na hisiazenu,hee watu wasiongee alah!
 
mkuu Safari_ni_Safari, naamini hata yule anayekuchukia lazima atafika sehemu akubali mambo yako maana unatisha.
Hapa mbona kama znj vile maana Bukoba/Moshi/mbeya hakufanani, au Kimanzichana!?
 
Back
Top Bottom