Manyanza
Platinum Member
- Nov 4, 2010
- 21,982
- 57,749
Ukombozi wa nchi hii utaanzania Mbeya
Utausubiri sana.Ukombozi wa nchi hii utaanzania Mbeya
Sasa wewe Mtoto wa Shule si ukojoe ulale usije ukakosa namba kesho shuleniUtausubiri sana.
Nimemaliza Darasa la Saba mwaka huu. Sasa hivi nipo tu nyumbani kwasababu mwalimu wetu wa Inglishikozi ameenda kusimamia Mitihani ya fomfoo!!!Sasa wewe Mtoto wa Shule si ukojoe ulale usije ukakosa namba kesho shuleni
Duh... msimu wa vitoto kubikiriwa na kupata mimba za utotoni ndio huu. Usiwe unatokatoka nje wala kuchezacheza na wavulana, umesikia ehh...Nimemaliza Darasa la Saba mwaka huu. Sasa hivi nipo tu nyumbani kwasababu mwalimu wetu wa Inglishikozi ameenda kusimamia Mitihani ya fomfoo!!!
Eeeee!Duh... msimu wa vitoto kubikiriwa na kupata mimba za utotoni ndio huu. Usiwe unatokatoka nje wala kuchezacheza na wavulana, umesikia ehh...
MkuuUkombozi wa nchi hii utaanzania Mbeya
Tofautisha uhuru na ukomboziMkuu
Kwani uhuru wa tanganyika uli asisiwa mbeya.