Nini kinachofanya JK asiteuwe RC mpaka leo??

serikali imefulia haina fedha kwa ajili ya kuwalipa wakuu wa mikoa wapya na watakaostaafu pamoja na kuendesha mikoa mipya iliyoundwa ya njombe, geita, simiyu na katavi

naunga mkono sababu yako kuna kipindi hapo katikati mishahara ilichelewa,sasa ukiteua ma RC ma DC hizo perdiem zao za uhamisho imebidi Mkuu wa kaya ale pozi kwanza ila mwezi ujao atateua waanze kazi mwaka wa fedha july
 
Back
Top Bottom