Nini kinachoendelea Singida?

Hata mafuta ya alizeti yanapatikana singida!! Kuku watam wa kienyeji tunaokula wanatokea singida!!! hata baadhi yenu mmeoa watoto wa singida!!

Hata K Kali zinatokea Singida
 
Kwa hyo mtoa mada unatakaje labda


Mi niliuliza swali hili kutokana na matukio mawili,yaliyofuatana kufanyikia Mkoa Mmoja - Singida ambapo viongozi wawili wa juu walihusika. Pia nilipata utata kidogo kutokana na kauli ya ya kiongozi mkuu kusema siri ya ushindi wake ilikuwa singida. Nikadhani wanarudisha shukurani. Sina takwimu za matokeo ya Urais kuwa mkoa wa singida alipita kwa asilimia ngapi.
 
Tatizo la LOGIC linalokorofisha uelewa wa baadhi ya wachangiaji hapa ni kutumia EITHER OR, mahali ambapo usahihi ni BOTH AND.

Anayeabudiwa ni Mungu peke yake, lakini Mama wa Mungu anaheshimiwa. Anaheshimiwa Mama NA Mwana, na sio Mama BADALA ya Mwana. It's both and, not either or.

Rosari ni sala ya kumwomba Mama wa Mungu atuombee. It's an intercessiory prayer. Wale wanaosema kwa nini usali through an intercessor badala ya kusali moja kwa moja kwa Mungu wanadhani ni either or, wakati ni both and. Do both.

Mama Maria alikufa na akazikwa, ila Mwanaye akampaliza Mbinguni. Hii ni imani ya Wakatoliki. Halazimishwi mwingine kuipokea.

Rais ana kila haki ya kuamini Rosari aliyopewa ilimsaidia kupata ushindi (however that happened). Halazimishwi mtu kukubaliana naye. These are private matters.
 
Mkuu hata mie ikifikia kwenye MARIA na Rozari huwa siwaelewi Wakatoliki,

Wanaziamini mno kuliko hata Kristo mwenyewe
 
Kufungu gani cha Sheria au ibara gani ya Katiba imevunjwa kwa viongozi wa kitaifa kufanyia Singida?
 
Hapo pa kuoa Singida umenipiga bao kwa maana watoto wa Singida ni moto wa kuotea mbali!!
Wanawaka na watamu ile mbaya!!!
Na wanagawa si polepole,mtaa mzima unamjua mpk chunusi aliyonayo chini ya tako.Hatari sana
 
Kwani hujui Mwigulu ndio bosi wa haya mashirika ya dini dini sikuhizi ni kuhongeka kwa kwenda mbele sijawahi ona upuuzi wa miaka hii kama huu naushuhudia eeh Mungu nakushukuru kwa kuniweka hai nikashuhudia mambo ya hatari na maovu kupata kutokea uniani kwenye nchi yetu kwa mkono wako wa heri utatuepusha na janga
 
Rosali ndiyo Mungu?
Ni mnyororo Mtamu sana unaomuunganisha mwanadamu na Mungu wake anaposali. Anapanda kufuatana na hizo kete anaposali . kutoka karne moja hadi nyingine. Karibu ujifunze nawe utakuwa karibu na Mungu wako na mafanikio ya kuwa karibu naye utayaona na utatusimulia. Mungu awe nawe upate kuwa karibu naye uweze kuhubiri Amani ndani ya familia zetu na hata Taifa zima.
 
Kwa Imani ya katoliki ni wazi kabisa bikra Maria alipalizwa Mbinguni na si vinginevyo. Sidhani kama Mh Raisi amewatangazia uma wa Watanzania au Dunia kwamba anamdhihaki Mungu, naona ni wewe ndiyo unampandikizia maneno mdomoni mwake. Biblia ni maneno yake Mungu kwetu sisi wanadamu usipende yabadilisha Isome uelewe kama huelewi uliza na Mungu atakufungulia uelewe. Heri Ya Xmass na Heri ya Mwaka mpya. Nakutakiwa mafanikio mema ya Kiroho na mwili.
 

Usiwe na hofu.Magufuli anamwamini Mungu.Sio vibaya kumheshimu Bikira Maria maana ni Mama wa Mungu.
 
Tunawaheshimu na kuwatambua, lakini HAIWEZEKANI WAKAABUDIWA hao badala ya Mungu muumba wa mbingu na nchi na vyote vilivyomo ndani yake......Mungu huyu mmoja tu!!
Niambie nikitu gani kinakuaminisha kwamba imani yako inanguvu kuliko imani ya mwingine? Acha upuuzi hauna ushahidi wowote wa hayo unayo amini kama ni kweli au sio kweli halafu unapinga imani ya mwenzako halafu hata kimafanikio kakuzidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…