Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,189
- 128,278
wameonekana ni vibaka tu wanaotumia nguvu kuliko akili.
wameonekana ni vibaka tu wanaotumia nguvu kuliko akili.
Mwendokasi lazima IFE
Huwezi endesha shirika lisilo na faida
Serikali haiwezi endesha biashara...
Huwezi endesha shirika lenye hasara linalotegemea "ruzuku" toka serikalini....Serikali hela hiyo kwanza haina,LAZIMA LIFE!
It is a matter of time!
Mbona kariakoo sijawaona, na machinga wapoSuma wapo mtaani kumalizana na wamachinga kama huna story hii… utakua unaputwa na vingi sana. Suma woteeeee unaowajua kasoro kwenye kampuni kubwa wapo kwenye msako wa machinga usiku na mchana.. maana machinga sikuhizi wapo usiku.. sasa pita mwenge utawaona wenye kazi zao
WatakupingaHata majengo mengi ya serikali yaliyokuwa yanalindwa na SUMA JKT sasa yanalindwa na kampuni binafsi. Bila shaka makampuni mengi ya ulinzi yanamilikiwa na vigogo wastaafu au walio katika utumishi katika majeshi. Nadhani msimamo wa awali ulikuwa mzuri zaidi kiusalama, kwamba taasisi za umma zilindwe na vyombo vyetu.
Acheni ajira zirudi uraiani, kwani hao vigogo wataenda kulinda wenyewe au wataajiri vijana wetu waliopita mgambo huku kitaa?? Kama kampuni moja ikiajiri watu 200 kampuni 100 zitaajiri wangapi??Hata majengo mengi ya serikali yaliyokuwa yanalindwa na SUMA JKT sasa yanalindwa na kampuni binafsi. Bila shaka makampuni mengi ya ulinzi yanamilikiwa na vigogo wastaafu au walio katika utumishi katika majeshi. Nadhani msimamo wa awali ulikuwa mzuri zaidi kiusalama, kwamba taasisi za umma zilindwe na vyombo vyetu.
Suma wapo mtaani kumalizana na wamachinga kama huna story hii… utakua unaputwa na vingi sana. Suma woteeeee unaowajua kasoro kwenye kampuni kubwa wapo kwenye msako wa machinga usiku na mchana.. maana machinga sikuhizi wapo usiku.. sasa pita mwenge utawaona wenye kazi zao
Hata hao walioko SUMA JKT nao ni vijana wetu na watapata chochote, au wakiwa huko hawalipwi?Acheni ajira zirudi uraiani, kwani hao vigogo wataenda kulinda wenyewe au wataajiri vijana wetu waliopita mgambo huku kitaa?? Kama kampuni moja ikiajiri watu 200 kampuni 100 zitaajiri wangapi??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Iko wazi zama ze mzee walipigwa sana chapuo... Hizo zama zilienda na mzee wetu, SUMA wanachofeli ni kuingiza masusla ya kijeshi kwenye service industry... Just imagine ukute mteja wako au jirani yako anarushwa kichura chura kwasababu wamepishana mtazamo na afande... Utakosa majirani wewee[emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]CT ni kampuni janja janja ya watu flani imerudi tena.We kama ICD zimerudi kwa kasi itakuwa CT sasa hivi ni mwendo wa kupiga tu.Nasikia karikaoo hiyo mpya inayojengwa soko kuna mkono wa Manji nchii hii ina mambo makubwa.
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app