Nini kimewakuta Suma JKT na mwendokasi(dart)?

Tajiri Kichwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2017
Posts
9,020
Reaction score
22,095
Kipindi mwendokasi inaanza kufanya niliona kampuni ya china tanzania security(CT) ndio ilikua ikitumika kwenye ulinzi wa miundo mbinu ya mwendokasi mfano vituo.

Katika awamu iliyoisha CT sikuwaona tena na badala yake nikawaona suma jkt wakipewa iyo nafasi kama walinzi wa miundo mbinu iyo ya mwendokasi.

Nini kimetokea tena maana kwa hizi siku 4 nawaona China Tanzania security wamerudi katika miundo mbinu iyo.

Naomba uliza ni kwamba contract yao imeisha au suma jkt imeshindwa kutimiza malengo waliojiwekea dart wakaona waachane nao. Au kila awamu ikiingia ina mlengo wake wakufanya kazi.

.. ila bora kidogo maana vijana wa suma wamezidi ubabe. Wanajiona wao kama jw..

Naomba kuwasilisha.
 
Iko wazi zama ze mzee walipigwa sana chapuo... Hizo zama zilienda na mzee wetu, SUMA wanachofeli ni kuingiza masusla ya kijeshi kwenye service industry... Just imagine ukute mteja wako au jirani yako anarushwa kichura chura kwasababu wamepishana mtazamo na afande... Utakosa majirani wewee🤣🤣
 
Suma wapo mtaani kumalizana na wamachinga kama huna story hii… utakua unaputwa na vingi sana. Suma woteeeee unaowajua kasoro kwenye kampuni kubwa wapo kwenye msako wa machinga usiku na mchana.. maana machinga sikuhizi wapo usiku.. sasa pita mwenge utawaona wenye kazi zao
 
Iko wazi zama ze mzee walipigwa sana chapuo... Hizo zama zilienda na mzee wetu, SUMA wanachofeli ni kuingiza masusla ya kijeshi kwenye service industry... Just imagine ukute mteja wako au jirani yako anarushwa kichura chura kwasababu wamepishana mtazamo na afande [emoji1787][emoji1787]

Na hapo ndio waliposhindwa wale vijana walikua wanatumia nguvu nyingi kuliko akili. Niliwai zuia ofisi moja kisa jeans yangu ina michaniko. Muda huo huo akapita mzungu na nguo sample ile ile yeye akapita
 
Suma wapo mtaani kumalizana na wamachinga kama huna story hii… utakua unaputwa na vingi sana. Suma woteeeee unaowajua kasoro kwenye kampuni kubwa wapo kwenye msako wa machinga usiku na mchana.. maana machinga sikuhizi wapo usiku.. sasa pita mwenge utawaona wenye kazi zao

Kwa maana iyo wameachia malindo yao yote wameenda kufukuza machinga?
 
CT ni kampuni janja janja ya watu flani imerudi tena.We kama ICD zimerudi kwa kasi itakuwa CT sasa hivi ni mwendo wa kupiga tu.Nasikia karikaoo hiyo mpya inayojengwa soko kuna mkono wa Manji nchii hii ina mambo makubwa.

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app

Duuh mbona mambo yanazidi kuchanyia watu wameamua kuifungua nchi sasa
 
Mfumo au sheria ya manunuzi inatoa haki sawa katika tenda kwa kampuni zote.
Alichokifanya Magufuli ni kulazimisha Suma JKT wwpewe tenda bila kupingwa ni kinyume cha sheria

Ni bora maana kipindi kile tenda nyingi za serikali zilikua zinafanywa na serikali kupitia taasisi mbadala. Hii ilikua inawanyima kipato taasisi binafsi.
 
Hata majengo mengi ya serikali yaliyokuwa yanalindwa na SUMA JKT sasa yanalindwa na kampuni binafsi. Bila shaka makampuni mengi ya ulinzi yanamilikiwa na vigogo wastaafu au walio katika utumishi katika majeshi. Nadhani msimamo wa awali ulikuwa mzuri zaidi kiusalama, kwamba taasisi za umma zilindwe na vyombo vyetu.
 
CT ni kampuni janja janja ya watu flani imerudi tena.We kama ICD zimerudi kwa kasi itakuwa CT sasa hivi ni mwendo wa kupiga tu.Nasikia karikaoo hiyo mpya inayojengwa soko kuna mkono wa Manji nchii hii ina mambo makubwa.

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Kwani upigaji uliisha lini hapa TZ?ila mwendazake aliweza kuwachota akili kweli!!!huko bandarini PM, alifukuza watu wangapi kipindi hicho kila akienda anakutana na upigaji, aliokuwa na uwezo nao anatimua ila DG, hakumuweza!!kuziba ufisadi usitangazwe ndio kuwa upigaji haupo?!!
 
Kipindi mwendokasi inaanza kufanya niliona kampuni ya china tanzania security(CT) ndio ilikua ikitumika kwenye ulinzi wa miundo mbinu ya mwendokasi mfano vituo.

Katika awamu iliyoisha CT sikuwaona tena na badala yake nikawaona suma jkt wakipewa iyo nafasi kama walinzi wa miundo mbinu iyo ya mwendokasi.

Nini kimetokea tena maana kwa hizi siku 4 nawaona China Tanzania security wamerudi katika miundo mbinu iyo.

Naomba uliza ni kwamba contract yao imeisha au suma jkt imeshindwa kutimiza malengo waliojiwekea dart wakaona waachane nao. Au kila awamu ikiingia ina mlengo wake wakufanya kazi.

.. ila bora kidogo maana vijana wa suma wamezidi ubabe. Wanajiona wao kama jw..

Naomba kuwasilisha.
Ni culture yetu kuthamini cya nje na kudharau vyetu bila kujua kuwa tunategwa kijanja
 
Hata majengo mengi ya serikali yaliyokuwa yanalindwa na SUMA JKT sasa yanalindwa na kampuni binafsi. Bila shaka makampuni mengi ya ulinzi yanamilikiwa na vigogo wastaafu au walio katika utumishi katika majeshi. Nadhani msimamo wa awali ulikuwa mzuri zaidi kiusalama, kwamba taasisi za umma zilindwe na vyombo vyetu.

Wenye neema wameamua kupush agenda zao taratibu.
 
Iko wazi zama ze mzee walipigwa sana chapuo... Hizo zama zilienda na mzee wetu, SUMA wanachofeli ni kuingiza masusla ya kijeshi kwenye service industry... Just imagine ukute mteja wako au jirani yako anarushwa kichura chura kwasababu wamepishana mtazamo na afande [emoji1787][emoji1787]

kwahiyo wametolewa hapo sababu ya kurusha watu vichura!!!
 
Mfumo au sheria ya manunuzi inatoa haki sawa katika tenda kwa kampuni zote.
Alichokifanya Magufuli ni kulazimisha Suma JKT wapewe tenda bila kupingwa ni kinyume cha sheria

alilazimishaje wakati maeneo mengi tu yalikuwa yanalindwa na kampuni binafsi!!
 
Back
Top Bottom