MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,259
Utafiti huu hauna tofauti na ile "Tume ya Mwakyembe" , wahusika hawakuhojiwa!..
Hujafanya utafiti mkuu, umeangalia tu. Cha kufanya rudi tena ubebe sample uendenazo lodge ulete majibu mujarabu kama ni makaratasi au ni nyama kweliJamani, kuna kitu kimejitokeza ambacho sie wanaume hatukijui?
Usiku wa leo nimekuwapo The great park kuthibitisha ka utafiti kangu... Ni kweli kuwa asilimia kubwa ya wanawake waliokuwepo pale walikuwa wamejazika nyuma... Hali hii imenitisha na kunifanya nihisi labda wamevaa matambara ndani au labda Mchina is at work...
Wale wataalam wa mambo mkuje huku kutoa maelezo...
Hahahahah kwahiyo ilitakiwa awahoji kbs asikie maoni yaoUtafiti huu hauna tofauti na ile "Tume ya Mwakyembe" , wahusika hawakuhojiwa!..
Tamaa zako zinakusumbua tu, kafanye kazi acha ujinga
Hahahaaaaaaa ila jamaa kibokoHahahahah kwahiyo ilitakiwa awahoji kbs asikie maoni yao
Muache mwanasayansi wetu
Utaielewa tu polepole usijali mkuuUngenitafsiria maana ya avata yako ningeshukuru ndugu yangu, nataman kuielewa tu basi!