johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,145
Jaffo siyo Kingwendu bwashee!Huyo JAFFO mnamtajataja mwisho apigwe kombora kijana wa kisarawe bure.
Kwani ni mzee?!Hivi Jafo naye ni kijana?
Kwani ana miaka mingapi?Kwani ni mzee?!
35sa kwani ana miaka mingapi?
Ni wazee?!Hivi akina January, Kigwangalla, Nape na Jaffo ni vijana?
Nimekuelewa bwashee.Nape,January na Makonda walidhani wao ni untouchable kwa kuwa nyakati fulani wamemsaidia mtawala.
Kigwangala ameponzwa na tabia ya kupenda mapambano hata pale alipoonywa na mkubwa wake aliendeleza likembe.
Gambo yule ni invisible atapaa tena.
Ujanana unaishia miaka 36 hao wako 50sNi wazee?!
Acha uongo wewe
Kwa mujibu wa sheria ipi?Ujanana unaishia miaka 36 hao wako 50s