johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,915
- 141,872
Najua wengi wao wako bungeni lakini ukimya wao ni kama vile hawapo yaani hawasikiki wala hawafurukuti.
Nini kimewatuliza?
Je, ni ujio wa vijana wapya na machachari kutoka CHADEMA akina Silinde, Patrobas, Waitara, Gekui, Mwambe, Dr Mollel nk au ni nini hasa maana hata Sadifa na Shonza wamezimika pia.
Mwisho wa uchaguzi ndio mwanzo wa uchaguzi mwingine.
Mungu wabariki vijana wa Afrika akina Bobi Wine na Jaffo
Maendeleo hayana vyama!