GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,736
- 109,328
- Thread starter
- #81
Na hapo ndio inapooneka Lissu alivyo na uwezo mkubwa wa akili kwani jibu hilo la ghafla limemshangaza hata muuliza swali. Hizo ndio sifa kubwa za Lissu, akili.BBC: hivi ni tangu raisi aingie madarakani hakuna jambo zuri hata moja alilofanya mumsifie mbona mnaponda tuu
LISSU: kafanya mengi sana mazuri ila kubwa kuliko ni hili la kutufanya tujue thamani ya haki za binadamu kuliko utawala wa awamu yoyote ile iliyowahi kupita....
BBC: hivi ni tangu raisi aingie madarakani hakuna jambo zuri hata moja alilofanya mumsifie mbona mnaponda tuu
LISSU: kafanya mengi sana mazuri ila kubwa kuliko ni hili la kutufanya tujue thamani ya haki za binadamu kuliko utawala wa awamu yoyote ile iliyowahi kupita....
Labda anataka kutumbua maamuzi ya yeye kuhamia Dodoma.Sijawahi kuona Rais wa Tanzania Dkt. Magufuli akitoa Hotuba huku akiwa mpole, makini, hana maneno mengi kama tulivyomzoea halafu akiwa si mchangamfu kama kawaida yake na ukienda mbali zaidi ukitumia Saikolojia ya Kimwonekano utagundua kuna jambo au kuna kitu.
Je nimeona hili peke yangu tu?
Nawasilisha.
Sijawahi kuona Rais wa Tanzania Dkt. Magufuli akitoa Hotuba huku akiwa mpole, makini, hana maneno mengi kama tulivyomzoea halafu akiwa si mchangamfu kama kawaida yake na ukienda mbali zaidi ukitumia Saikolojia ya Kimwonekano utagundua kuna jambo au kuna kitu.
Je nimeona hili peke yangu tu?
Nawasilisha.
Kwani hujui kuwa kuna marehemu yupo cold room😤😤😤⁉️Sijawahi kuona Rais wa Tanzania Dkt. Magufuli akitoa Hotuba huku akiwa mpole, makini, hana maneno mengi kama tulivyomzoea halafu akiwa si mchangamfu kama kawaida yake na ukienda mbali zaidi ukitumia Saikolojia ya Kimwonekano utagundua kuna jambo au kuna kitu.
Je nimeona hili peke yangu tu?
Nawasilisha.