Nini kimetokea au kuna nini kinaendelea nchini Tanzania kwani kwa miaka mitatu iliyopita sijawahi kukiona kama leo!

BBC: hivi ni tangu raisi aingie madarakani hakuna jambo zuri hata moja alilofanya mumsifie mbona mnaponda tuu

LISSU: kafanya mengi sana mazuri ila kubwa kuliko ni hili la kutufanya tujue thamani ya haki za binadamu kuliko utawala wa awamu yoyote ile iliyowahi kupita....
Na hapo ndio inapooneka Lissu alivyo na uwezo mkubwa wa akili kwani jibu hilo la ghafla limemshangaza hata muuliza swali. Hizo ndio sifa kubwa za Lissu, akili.
Lakini kubwa zaidi ana historia ya kuheshimu sheria na kuipenda kama imenyooka na kuichukia kama imepinda
 
Akiwa mpole mnasema skiwageuka mnasema. Anyway no more bomoabomoa. Great sign of surrendering
 
BBC: hivi ni tangu raisi aingie madarakani hakuna jambo zuri hata moja alilofanya mumsifie mbona mnaponda tuu

LISSU: kafanya mengi sana mazuri ila kubwa kuliko ni hili la kutufanya tujue thamani ya haki za binadamu kuliko utawala wa awamu yoyote ile iliyowahi kupita....

Dah, jibu lililoshiba hasa!
 
Hizi taarifa za Dr Mlango nazo za makusanyo kufikia 62% pekee nusu mwaka zitazidi kumyong'onyeza.
 
Sijawahi kuona Rais wa Tanzania Dkt. Magufuli akitoa Hotuba huku akiwa mpole, makini, hana maneno mengi kama tulivyomzoea halafu akiwa si mchangamfu kama kawaida yake na ukienda mbali zaidi ukitumia Saikolojia ya Kimwonekano utagundua kuna jambo au kuna kitu.

Je nimeona hili peke yangu tu?

Nawasilisha.
Labda anataka kutumbua maamuzi ya yeye kuhamia Dodoma.
Dar -es-salaam kumenoga.
 
Sijawahi kuona Rais wa Tanzania Dkt. Magufuli akitoa Hotuba huku akiwa mpole, makini, hana maneno mengi kama tulivyomzoea halafu akiwa si mchangamfu kama kawaida yake na ukienda mbali zaidi ukitumia Saikolojia ya Kimwonekano utagundua kuna jambo au kuna kitu.

Je nimeona hili peke yangu tu?

Nawasilisha.

Hotuba ipi? Tafadhali tuwekee tumuone
 
Sijawahi kuona Rais wa Tanzania Dkt. Magufuli akitoa Hotuba huku akiwa mpole, makini, hana maneno mengi kama tulivyomzoea halafu akiwa si mchangamfu kama kawaida yake na ukienda mbali zaidi ukitumia Saikolojia ya Kimwonekano utagundua kuna jambo au kuna kitu.

Je nimeona hili peke yangu tu?

Nawasilisha.
Kwani hujui kuwa kuna marehemu yupo cold room😤😤😤⁉️
 
Back
Top Bottom